Maneno ya dharau na kuudhi ya Juma Lokole kuhusu mtu mweusi yanaudhi na kushawishi unyonge kwa vijana wanaomsikiliza ambao ni weusi

We nae. Huyo Juma Lokole ndio umemuandika gazeti lote hili. The guy is a non entity, a nobody who lives off his closeness to Diamond's family. Embu tuondolee upuuzi hapa
 
I take spliffs or weed...man should get it
 
Imebidi nimuulize demu flani Juma Lokole ni nani?

Kaniambia ni Mchambaji wa Wasanii.

Duh kwahiyo jamaa ndio celebrity kwenye hiyo tasnia. Hafu ni Kidume.
 
Ila wabongo tuna akili na muda wa mchezo kiukweli na ndio maana watu wanaopata umaarufu wanafanana na akili za wengi wetu. Lokole seriously!!....

Sent using Jamii Forums mobile app
Ahahahh...
Siwez kumfuatilia lakin kuna umuhim pia kujua what is going on mana hawa watu brother licha ya kuwa Ni stupid celebs, wana athari kubwa sana kwa watu wanao wapenda.Wana nafasi kubwa ya ku polute minds za vijana.so it is important hawa haya mambo wanayotafanyabkuwa monited na actions kuchukuliwa dhidi yao pind wanapoonekana wana agenda destructive.
 
Hahaaaa Nakuelewa brother na haswa wanawake ndio wameshikwa sana na hawa insta celebs. Ila mtu kama huyo kuwa threat bhasi kama jamii tumeshafeli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yani nimefungua uzi nikwambie tu mtoa mada akili yako nayo tia maji tia maji. Hivi yule shoga nae ni mtu wa kutiliwa maanani..... dahhhh inasikitisha
 
Yeye mwenyewe mweusi afu shogaa akafe hukoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…