Maneno ya Dkt. Bashiru ni shambulizi kwa Rais Samia na yenye ajenda ya siri. Aitwe haraka na kuhojiwa na chama

Ccm ni moja ,wanaccm Ni wamoja na chama ni kimoja.Tuendelee kusimama kwa pamoja Kama chama Na Taifa kwa ujumla,Tusimame na Mwenyekiti wetu Mama Samia,
Ukiwa na kadi ya chama chetu unaweza kupasua kicheko katikati ya msiba "...alisikika mnufaika akisema"
 
Sijasoma ila najua tu umeandika pumba.
Ungekuwa kiongozi ungetupeleka pabaya Sana ndugu yangu maana ungekuwa unasaini mikataba bila kusoma na kupokea habari bila kuzifanyia utafiti na uchambuzo wa kina
 
CCM Ina kanuni utaratibu na misingi take ya kuifuata. CCM siyo Kama Chadema ambako unaweza ukajiongelea tu utakavyo bila kufuata utaratibu wa chama
 
ccm imewafanya waTanzania kama shamba la bibi.
Yaani hawaoni hata aibu kujibizana kijinga jinga mbele za wanachi.

Upinzani nao ni hopeless. Hadi sasa wanavizia hoja za ccm waruke nazo.
Badala ya kwenda kwenye mikutano ya hadhara kudai Katiba Mpya, n.k. Wao wapo wapo tu wanawashangaa ccm
 
Omba wakupe simu ya kueleweka we lofa.
Kusifia kote bado una tekino
 
Kwani kataja mtawala huyu?
Ukipita kwenye ofisi nyingi za serikali kuna mabango yameandikwa utawala je hao hawawezi kuwa miongoni mwa aliowalenga Bashiru?
Je watawala waliopo ndiyo wanufaika wa hujuma zinazofanywa kwa wakulima?
 
Ningekuwa mtawala ningemkumbatia Bashiru ni jasiri
 
kafanye kibarua upate hela ununue simu mpya unaowasifia hawakujui si ndugu zako wamekupa umasikini wa kutupwa wanatembelea magari ya kifahari wanakula breakfast zao za uhakika lunch na dinner zao ni kufuru kuwa na akili wewe vaa uhusika wananchi wanateseka kama Rais anateseka ajiuzulu ili aje mtu sqhihi
 
Hata ukiandika page 100 haziwezi kupindisha ukweli.
Ukweli huwa umenyooka na unajilinda wenyewe infinity.

Uwongo lazima ulindwe iliusiharibike, endeleeni kulinda uwongo kilasiku mkijisahau kidogo tu, uwongo unawaacha uchi.
 
Wakala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…