Maneno ya Idriss Sultan Kwa Mrembo Jokate Mwegelo

Huyu jamaa kwa mizoga, noma anatafuta gia ya kuingilia ili akaonje papuch, kweli idrissa walipo wadada upo, then baada ya kidoti whats next
 
Naamini kabisa Jamaa ameandika akiwa anamaanisha alichokiandika sasa kama wewe umekuja na mawazo nyege yako utakua umemkosea sana. Idriss amekosa k kweli hadi amsifie Kidoti hiyo Mimi naikataa..fikiria tu kuna warembo wangapi wazuri kumzidi hata Kidoti,siyo kosa kukubali jitihada za miss Kidoti me naona yuko sawa tu.
 
yan wanaume tukitaka nyuchi huwa tunaanzia mbaliiiiiiiiiiiiiiii
 
Nadhani huyu na yeye ni K
 
Huyu akitua anga zangu lazima nihangaike na papuchi yake
 
Kweli huyu binti kafanya mengi kwenye jamii sifa zake apate.
 
Jamani nikipi jokate amefanya au huko kukaa kimya bila skendo kama wenza na kama ni huko kukaa kimya bbila skendo huo ndio wajibu wa kioo cha jamii.
 
Mtoto mzur Jojo! Daaah hii Couple ya kiba na huyu manzi ni moja ya Match nilizo zitamani ziendelee daima! Kiba hapa amepoteza mtu ambae alikuwa anamfaa sana . Namshauri jojo afanye mambo yake tu kwa sasa huku kulilia penzi waziwazi kutazidi kumshusha hadhi yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…