Maneno ya Idriss Sultan Kwa Mrembo Jokate Mwegelo

Maneno ya Idriss Sultan Kwa Mrembo Jokate Mwegelo

Huyu jamaa kwa mizoga, noma anatafuta gia ya kuingilia ili akaonje papuch, kweli idrissa walipo wadada upo, then baada ya kidoti whats next
 
Naamini kabisa Jamaa ameandika akiwa anamaanisha alichokiandika sasa kama wewe umekuja na mawazo nyege yako utakua umemkosea sana. Idriss amekosa k kweli hadi amsifie Kidoti hiyo Mimi naikataa..fikiria tu kuna warembo wangapi wazuri kumzidi hata Kidoti,siyo kosa kukubali jitihada za miss Kidoti me naona yuko sawa tu.
 
yan wanaume tukitaka nyuchi huwa tunaanzia mbaliiiiiiiiiiiiiiii
 
d9494f51ce3711d00cdf5927a170b19c.jpg

Ndani ya miaka 5 she has done so much more than any celebrity in Tanzania kwenye jamii. Naomba nihamishie upepo kwake kwa shukrani zote kwa yote aliyoyafanya kuinyanyua jamii ya watanzania na naomba msamaha kwa niaba ya watanzania kwani tulikua busy tunaangalia nani anatoka na nani na nani kagombana na nani na nani kaposti uchi leo, tukasahau kua umebadilisha maisha ya vijana zaidi ya laki 5 ndani ya miaka miwili tu. Ingekua muamuzi ni mimi ungekua Forbes because ni celebrity pekee uliyesimamisha brand product yako kwa jina lako and yes African boy ya Jux inakuja pia. Uliyoyafanya kwenye jamii yako bila kulazimishwa ni zaidi ya baadhi viongozi tuliowachagua kufanya kazi hizo tunazowalipa kufanya. If am allowed may I please say you are "THE FLOWER [emoji259] OF TANZANIA" if you ask me why its because you are beautiful and you make us smell good werevaa you go.
Kwa niaba ya watanzania ningependa kusema tumejisahau sana na tusamehewe. Stay beautiful [emoji7].. cc: @jokatemwegelo [HASHTAG]#TheFlowerOfTanzania[/HASHTAG]




View attachment 480024https://mushkhani.wordpress.com/URL]
Nadhani huyu na yeye ni K
 
Huyu akitua anga zangu lazima nihangaike na papuchi yake
 
Jamani nikipi jokate amefanya au huko kukaa kimya bila skendo kama wenza na kama ni huko kukaa kimya bbila skendo huo ndio wajibu wa kioo cha jamii.
 
Mtoto mzur Jojo! Daaah hii Couple ya kiba na huyu manzi ni moja ya Match nilizo zitamani ziendelee daima! Kiba hapa amepoteza mtu ambae alikuwa anamfaa sana . Namshauri jojo afanye mambo yake tu kwa sasa huku kulilia penzi waziwazi kutazidi kumshusha hadhi yake
 
Back
Top Bottom