Maneno ya kimichezo

Maneno ya kimichezo

gebu

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2011
Posts
402
Reaction score
246
Wazuu nawasalimu sana.kwa ufupi kuna maneno ya kimichezo ukiyasikia ata kama MTU hapendi mpira lazima afatilie mfano kunyanyua kwapa(kubeba kombe),jicho mwewe(pasi ya uhakika),pass ya sambusa(pass inayokata kona kumfata mlengwa).nawakaribisha sana
 
Wamepaki bus(beki,midfielders wote wote wako nyuma kulinda goli mbele anabaki mmaliziaji tu)
 
Wazuu nawasalimu sana.kwa ufupi kuna maneno ya kimichezo ukiyasikia ata kama MTU hapendi mpira lazima afatilie mfano kunyanyua kwapa(kubeba kombe),jicho mwewe(pasi ya uhakika),pass ya sambusa(pass inayokata kona kumfata mlengwa).nawakaribisha sana
Naamaanisha wakuu sio wazuu tusamehane
 
Back
Top Bottom