Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maana ni nini mkuuMpira kwapani.
Kususa mechi kabla haijaisha.Maana ni nini mkuu
Naamaanisha wakuu sio wazuu tusamehaneWazuu nawasalimu sana.kwa ufupi kuna maneno ya kimichezo ukiyasikia ata kama MTU hapendi mpira lazima afatilie mfano kunyanyua kwapa(kubeba kombe),jicho mwewe(pasi ya uhakika),pass ya sambusa(pass inayokata kona kumfata mlengwa).nawakaribisha sana
Pia lampard inatumika kama shuti au pass ndefu sikuizi sio sanaKamba au waya (ni goli)