Maneno ya Kiswahili yaliyopo mbioni kuharibiwa na vilaza

Maneno ya Kiswahili yaliyopo mbioni kuharibiwa na vilaza

Ndan ya nchi moja lahaja zipo tu. Ndio maana nimekupa mfano. Kwa maana lahaja huwa zao la lugha mama. Mpare ni ngumu kutofautisha tha na sa msukuma u ataweka hu nk
Kuchanganya R na L sio lahaja, kutamka seble badala ya sebule sio lahaja, xaxa badala ya sasa sio lahaja.
Lahaja ni kama skuli/shule, kudemka/kucheza ngoma, tungule/nyanya n.k
 
Kuchanganya R na L sio lahaja, kutamka seble badala ya sebule sio lahaja, xaxa badala ya sasa sio lahaja.
Lahaja ni kama skuli/shule, kudemka/kucheza ngoma, tungule/nyanya n.k
Kweli. Ugali udaga bada nk nimekusoma na shukrani kwa kunielewesha sina taalimu hiyo ndio maana
 
Wewe unazungumzia lafudhi na siyo lahaja. Hili la kushindwa kutamka maneno ni eneo la lafudhi. Lafudhi inaathiriwa na asili ya mzungumzaji na mara nyingi huathiriwa na lugha ya kwanza ya mzungumzaji eg kisukuma. Wakati Lahaja ni lugha inayozungumzwa katika eneo fulani au na kikundi fulani cha watu, yenye tofauti kidogo au kubwa katika matamshi, msamiati, na sarufi. mfano kiswahili cha Unguja na kiswahili na Kilimanjaro. Bottom line ni kuwa shuleni tunakwenda kusoma kiswahili sanifu, hivyo basi kama nchi yetu ilivyo na mtaala mmoja wa kiswahili, hakuna excuse ya kukosea maneno kwenye kuandika. Unaweza kukubali makosa kwenye matamshi lakini siyo kuandika.
Sawa ila ukatae ukubali lahaja huletwa na lugha mama au lugha zingine
 
Siku hizi wavivu wa lugha hawaandiki au kutamka tena
Sebule- wanasema seble
Muziki- wansema mziki
Muda- wansema mda!
Mkuu kuna tatizo pia kubwa sana ya matumizi sahihi ya herufi, zaidi kwenye herufi R na L pia A na H, kuna mkutano mmoja wa masuala ya anga nilihudhuria kuna mwamba mmoja badala ya kusema Precision Air akawa anatamka Precision Hair, Hair Tanzania……tuchapie huku huku kwenye kiswahili chetu, kinge hakina masihara kinakubamiza hapo hapo na maana inabadilika kbs😂 hair tena badala Air😅😂😂😂
 
Siku hizi wavivu wa lugha hawaandiki au kutamka tena
Sebule- wanasema seble
Muziki- wansema mziki
Muda- wansema mda!
Soma tamko la UVCCM, waongoza kuharibu lugha yetu ya kiswahili :

"Vihongozi wa vijana vyuo vikuu watoa tamko kupongeza mkutano mkuu mahaalum kuunga mkono lahisi wa jamhuri la muhungano wa Tanzania Mh. Samia Hassan kuwa mgombea pekee na lahisi wa Zanzibar mh. Dr. Ussein Hali Mwinyi kuwa mgombea pekee wa ulahisi Zanzibar , wawili ao kupepelusha bendela ya CCM katika uchaguzi wa Oktoba 2025 " - Vihongozi wa Vijana wa CCM Vyuo Vikuhu wasema..

 
Mama anaupiga mwingi.
Pochi la mama.
Samia mitano tena.
Madawa ya ukimwi 4R za mama
 
Gauni la Bi harusi kuitwa shela, wakati shela ni ile inayofunika kichwa tu
 
Back
Top Bottom