Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
Tangu vita vianze hakuna hata nchi moja ambayo imetoa maneno ya kuikemea Israel kikamilifu au kutaja matendo yao kuwa ni haramu.
Badala yake utasikia maneno kama ilichofanya Israel huko Gaza yanaweza kuwa ni uhalifu wa kivita.Yanasemawa hayo wakati yaliyofanywa madogo kuliko hayo maeneo mengine duniani kama Sudan huwa yanapewa hadhi kamili ya uhalifu wa kivita.Sudan huwa wanarushiana mikuki tu na kuchomeana nyumba zao za nyasi na dunia nzima inaona.Huku matumizi ya mabomu mazito kuua watu vipande vipande haionekani ni tatizo kubwa.
Rais Biden karibuni ataitembelea Israel na anasema akifika huko ataishinikiza Israel isitishe vita.
Ilichotakiwa ni kuacha kuitembelea kabla ya kusitisha vita au asema atailazimisha kusitisha vita sio kwenda na maneno ya kinyonge nyonge kama hayo huku kila siku ipitayo kasi ya kuuaa na kuhamisha wagonjwa na watu waliochoka kuhama kwenda maeneo ambayo hayana hata nyumba yakiendelezwa kufanya na Israel.
Tumezoea kuisikia Marekani ikitoa amri kali na vikwazo vya kiuchumi kwa wahalifu ambao huwa uhalifu wao kwanza haujathibitishwa na huwa ni uhalifu mdogo kuliko huo wa Israel.
Ukisikiliza mataifa ya kiarabu na kiislamu ambayo yalitarajiwa kuja juu zaidi hali ni hiyo hiyo.Mara Israel ndiyo iliyohusika kufanya uovu fulani huku uovu huo ukijulikana wazi wazi nani aliyeutenda.Wengina huwa wanatoa maazimio ya kuitambua Palestina na uungaji mkono wake unaishia kuwa ni wa maneno peke yake.Wanaosema wataingia Israel kuwatetea wapalestina na kadhalika huwa ni kwa maneno tu.
Kitendo kibaya kilichofanyika majuzi masjidul aqswa cha kundi la mayahudi kuingia na kufanya ibada zao za kufru zingewakasirisha sana mataifa ya kiislamu lakini wote wametoa maneno mepesi na kurudi kwenye ikulu zao kulala.
Uzembe huo wa dunia nzima ndio uliomfanya waziri wa ulinzi wa Israel,Daniel Hagar hapo jana kusema kwa jeuri na kujiamini kuwa iwapo Israel itashambuliwa basi mataifa washirika zake wataingia kati kuwatetea.