Maneno ya kuibembeleza na kuikingia kifua Israel ni aibu kwa ulimwengu. Ndiyo yanayowapa jeuri mayahudi kuwaoneo wapalestina

Israhell hakuna wayahudi bali kuna wazayuni wahamiaji walojikusanya kutokea pembe mbali mbali wakaenda kumwagwa pale mashariki yakati

Nalengo kubwa la kuundwa taifa la israhell ni ili ulimwengu wa kiarabu na kiislamu pale mido ist usije ukakaa kwa amani nandio kinachoendelea leo hii pale
Screenshot_2024-10-21-22-29-59-585_com.twitter.android.jpg
 
You are using deception as said by some of western states . It is simple let America and Europe tAke back these murders they exported to once peaceful Middle East but they cant because zionists dictates them on what to do and say.. israel is not after peace but expansion and genocides
America na ukubwa wake wote huo wanatawaliwa na natanyahu. What a fake democracy inayotegemea pesa ya warajiri wa kiyahudi ambao ndio wanacontrol utawala wa nchi.
 
Mleta mada hivi alipigwa ban au ameamua atulie zake jukwaa la mapenz.?
 
Israhell hakuna wayahudi bali kuna wazayuni wahamiaji walojikusanya kutokea pembe mbali mbali wakaenda kumwagwa pale mashariki yakati

Nalengo kubwa la kuundwa taifa la israhell ni ili ulimwengu wa kiarabu na kiislamu pale mido ist usije ukakaa kwa amani nandio kinachoendelea leo hii pale
Propaganda nyepesi sana hizi. Wakati hao watu wanarudishwa hapo, hakuna taifa hata moja la Kiarabu lililokua linajitawala; wote walikua chini ya Mwingereza, sasa how eti "Wayahudi" warudishwe ili kuziminya nchi za Kiarabu? I think hi umeitoa kwenye vijiwe vya kahawa, haina ukweli wa kihistoria
 
You are using deception as said by some of western states . It is simple let America and Europe tAke back these murders they exported to once peaceful Middle East but they cant because zionists dictates them on what to do and say.. israel is not after peace but expansion and genocides
"The days are coming,’ declares the Lord, ‘when I will bring my people Israel and Judah back from captivity[a] and restore them to the land I gave their ancestors to possess,’ says the Lord.”

Attachments

  • Screenshot_20241020-230931.jpg
    Screenshot_20241020-230931.jpg
    409.4 KB · Views: 1
Back
Top Bottom