Maneno ya kuibembeleza na kuikingia kifua Israel ni aibu kwa ulimwengu. Ndiyo yanayowapa jeuri mayahudi kuwaoneo wapalestina

Tukio la october 7 si mliwashabikia hamas wenyewe wakiwaburuta wanawake wakiyahudi, wakibeba mateka na bodaboda zao , wakibaka, wakiwaua wayahudi sasa mnalia nini israel inajibu mapigo?
 
Msingevamia tarehe 07/Oktoba,2023 usingekuwa unalalama hapa
 
Hizi stori mnazodanganyana madrasa
 
Israel inapigana na mtu aliyefungwa miguu na mikono na dunia nzima inaangalia.Hicho ni kichapo gani.Ni aibu tupu kwa dunia.
Israel ilipopigana na Egypt na Syria nani alifungwa mikono?

Israel inashambulia Syria na Lebanon. Iran imepigwa mara kibao kila siku mikwara, nayo imefungwa mikono?
 
Israel ilipopigana na Egypt na Syria nani alifungwa mikono?

Israel inashambulia Syria na Lebanon. Iran imepigwa mara kibao kila siku mikwara, nayo imefungwa mikono?
Iran imepigwa mara kibao lini hemu lete tuone hata mara moja tu wakati iran inapigwa
 
Vita ya Gaza ni vita ya Iran. Iran ndiye master mind.
 
Nenda wewe kawakemee Israel huku umevaa msuli na talawanda tukuone.
 
Mwana kulitafuta,mwana kulipata
 
Kama nyie mnavyodanganyana chachi kwamba usagaji ni baraka pamoja na ushoga
According to Islam Dhambi zote zinasamehewa ikiwepo ushoga na usagaji na wote hao wataenda peponi kuendeleza issue hizo zao wapendazo.. Dhambi ambayo Allah hasamehi ni Shirki pekee.. Wakuraishi walikuwa ni wachawi akiwepo Mtume wenu alifanya shirki na nyie muslims pia mnafanya shirki kumshirikisha Allah na Mohamad kwa akili zao na ujuaji wanafanana... na Shahada mnashirikisha Allah na mohamad.. hamsameheki kwa Allah.
 
Hujakosea kijana kwa hapo umepata akili kidogo Allah kwahakika anasamehe kila dhambi yeyote ile hata huo ushoga unaosema maadam tu katubia dhambi yake na kaazimia kwamba hatafanya tena hio dhambi basi Allah hana shaka juu ya hili sababu Allah ni mwingi wa kusamehe anapotakwa msamaha kwahakika husamehe

Hapa akili kidogo zimekuhama kijana ngoja nikirudishe kwenye mstari mtume s.a.w aliwakuta makuraysh wakiwepo ma ami zake wanaabudia masanamu na kumshirikisha Allah akawalingania akawatoa huko na baadhi akawacha huko huko sababu hawakuamini akiwemo ami yake abuu lahabi (kama sijakosea jina)

Na hapo tena dishi limeyumba sababu huelewi maana ya kumshirikisha Mungu ngoja nikueke sawa kumshirikisha Allah nikama mnavyofanya nyie kule chachi kuitakidi kwamba kuna Mungu asiekua Allah na mkaabudia masanamu na kutegemea kuponywa kusamehewa na asiekua Allah hii ndio shirki

Shahada sio shirki bali ni kumkiri Allah kua mmoja na kuitakidi kwamba s.a.w ni mtume wake

Ukifa bila kuamini Allah na mtume wake kijana utakaa motoni milele na kutoka usahau
 

You are using deception as said by some of western states . It is simple let America and Europe tAke back these murders they exported to once peaceful Middle East but they cant because zionists dictates them on what to do and say.. israel is not after peace but expansion and genocides
 
Kunguru muoga huficha bawa lake.

Madaraka matamu.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…