Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Israhell hakuna wayahudi bali kuna wazayuni wahamiaji walojikusanya kutokea pembe mbali mbali wakaenda kumwagwa pale mashariki yakati
Nalengo kubwa la kuundwa taifa la israhell ni ili ulimwengu wa kiarabu na kiislamu pale mido ist usije ukakaa kwa amani nandio kinachoendelea leo hii pale
America na ukubwa wake wote huo wanatawaliwa na natanyahu. What a fake democracy inayotegemea pesa ya warajiri wa kiyahudi ambao ndio wanacontrol utawala wa nchi.You are using deception as said by some of western states . It is simple let America and Europe tAke back these murders they exported to once peaceful Middle East but they cant because zionists dictates them on what to do and say.. israel is not after peace but expansion and genocides
Propaganda nyepesi sana hizi. Wakati hao watu wanarudishwa hapo, hakuna taifa hata moja la Kiarabu lililokua linajitawala; wote walikua chini ya Mwingereza, sasa how eti "Wayahudi" warudishwe ili kuziminya nchi za Kiarabu? I think hi umeitoa kwenye vijiwe vya kahawa, haina ukweli wa kihistoriaIsrahell hakuna wayahudi bali kuna wazayuni wahamiaji walojikusanya kutokea pembe mbali mbali wakaenda kumwagwa pale mashariki yakati
Nalengo kubwa la kuundwa taifa la israhell ni ili ulimwengu wa kiarabu na kiislamu pale mido ist usije ukakaa kwa amani nandio kinachoendelea leo hii pale
"The days are coming,’ declares the Lord, ‘when I will bring my people Israel and Judah back from captivity[a] and restore them to the land I gave their ancestors to possess,’ says the Lord.”You are using deception as said by some of western states . It is simple let America and Europe tAke back these murders they exported to once peaceful Middle East but they cant because zionists dictates them on what to do and say.. israel is not after peace but expansion and genocides