Maneno ya Lema yanasikika sana, utakuwa mpumbavu usipoweza yapembua

4 7mbatizaji

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2019
Posts
8,406
Reaction score
9,619
Wana janvi sina mengi ,najua mpo vizuri tu, na neema ya Bwana ipo juu yenu

Husika na mada tajwa hapo juu,

Yupo ndugu Lema ambaye kwa wakati flani alikua mbunge Arusha mjini na sio mda mrefu ametoka nje ya nchi Canada alipokua kama mkimbizi wa kisiasa

Uyu mwamba moja ya kauli alizotoa akiwa amerejea nchini ni kuhusu Mwanalaana Sabaya akisema kwamba

Kama watu mfano wa Makonda wapo wanadunda kitaa inakuaje Sabaya yupo ndani, ? Ni bora akawa huru kuliko wengine waliofanya mahovu yanayofanana, au yananayozidi ya mwanalaana huyu kuendelea kula bata kitaa

Naam inasemekana uyu mwanalaana kaachiwa ,sie wengine hatuna shida maana tunajua laana yake ilishakua na atakuja ondoka duniani kwa mateso makubwa sana, anzia yeye mpaka uzazi wake(sina shaka na hili maana Mungu wangu yupo up to date sana) ,ya huko aendako atakuja jua yeye na Mungu wake

Lengo la andiko hili ni kuweka wazi kwamba wenda yupo kiongozi kusema watu ni stupid ni simple sana ,ila kwa mkono mwingine ni ngum kuwagusa mastup kama ambavyo mtu stupid aina ya Makonda imekua ngum kuchukuliwa hatua, mpaka ikaonekana bora mara mia kutekeleza maneno ya Lema kumuachia stupid Sabaya( na inasemekana kaachiwa)

Note ,Serikali hii hasa nyie mnaotafuta sijui majitu gani kaeni kiakili sana ,vinginevyo tunza hii msije sema hatukusema, maana hunena kupitia kwetu nasi kazi yetu nikufikisha ujumbe basi .
Amani ya Bwana na ikatawale Juu yenu ,imekua
 
Tanzania ni nchi ngumu sana niwe muwazi sijawahi muamini Samia na serikali yake huyu mama alikuwa sehemu ya utawala tena deputy kipindi Cha JPM ni ngumu sana kufikili yaliyokuwa yana endelea yeye alikuwa kipofu wakati ni mjumbe kwenye baraza.

"Unafiki ni sehemu ya tabia ya mwafrika"
Umeongea kwa sauti kubwa, thanks
 
Tanzania ni nchi ngumu sana niwe muwazi sijawahi muamini Samia na serikali yake huyu mama alikuwa sehemu ya utawala tena deputy kipindi Cha JPM ni ngumu sana kufikili yaliyokuwa yana endelea yeye alikuwa kipofu wakati ni mjumbe kwenye baraza.

"Unafiki ni sehemu ya tabia ya mwafrika"

Wapo wapuuzi wanaamini alichukia move za jpm.
 
Wana janvi sina mengi ,najua mpo vizuri tu, na neema ya Bwana ipo juu yenu

Husika na mada tajwa hapo juu,

Yupo ndugu Lema ambaye kwa wakati flani alikua mbunge Arusha mjini na sio mda mrefu ametoka nje ya nchi Canada alipokua kama mkimbizi wa kisiasa

Uyu mwamba moja ya kauli alizotoa akiwa amerejea nchini ni kuhusu Mwanalaana Sabaya akisema kwamba

Kama watu mfano wa Makonda wapo wanadunda kitaa inakuaje Sabaya yupo ndani, ? Ni bora akawa huru kuliko wengine waliofanya mahovu yanayofanana, au yananayozidi ya mwanalaana huyu kuendelea kula bata kitaa

Naam inasemekana uyu mwanalaana kaachiwa ,sie wengine hatuna shida maana tunajua laana yake ilishakua na atakuja ondoka duniani kwa mateso makubwa sana, anzia yeye mpaka uzazi wake(sina shaka na hili maana Mungu wangu yupo up to date sana) ,ya huko aendako atakuja jua yeye na Mungu wake

Lengo la andiko hili ni kuweka wazi kwamba wenda yupo kiongozi kusema watu ni stupid ni simple sana ,ila kwa mkono mwingine ni ngum kuwagusa mastup kama ambavyo mtu stupid aina ya Makonda imekua ngum kuchukuliwa hatua, mpaka ikaonekana bora mara mia kutekeleza maneno ya Lema kumuachia stupid Sabaya( na inasemekana kaachiwa)

Note ,Serikali hii hasa nyie mnaotafuta sijui majitu gani kaeni kiakili sana ,vinginevyo tunza hii msije sema hatukusema, maana hunena kupitia kwetu nasi kazi yetu nikufikisha ujumbe basi .
Amani ya Bwana na ikatawale Juu yenu ,imekua
Lema ni Shujaa
 
Back
Top Bottom