Maneno ya Mwijaku baada ya kumtembelea Lulu gerezani

Wazaz wenyew akil hawana,mzaz mwenye akili hawez mruhusu mtoto aish maisha hayo,...mi mungu akinijalia ,wanangu marufuku na ujinga wa kidunia huu,ntapambana hata kama mnasema mtoto hachungwi,yaan mi ndo ntakua wale wababa wanoko.
 
Jela sio pazuri kabisaa me kuna mtu aliniweka polisi kituo cha kati kwa masaa ma 4 sjawahi msamehe kila nikiwaza uwa naumia sana afu ni ndugu
Sello za huko nchi ya mama ni balaa imagine ujui kama ni mchana au jioni au usiku . Masaa manne kama ujawahi experience utakonda ukute umewekwa na wabishi mara wanakutishia kula tigo na kupiga ngumi ukuta na tambo nyingi anavowafira wageni wanaoletwa dah ni hatari sana . Mi naona ata gerezani kuliko Sello.
 
Aisee ndo unajua leo mkuu au kwa sababu ni lulu kafungwa jela kakunung'unikia sana?

Askari magereza wadharau uraian tu ila ukiingia mikononi mwao utawajua vzr.
Nimekumbuka kisa moja bt to make story short kila mtu ana umuhimu wake anapokuwa kwenye nafasi yake ata watoto wa maghu watakuja kufungwa tu hii ndio dunia.
 
Nionavyo Mimi Huyu Binti Atakua Analishwa Bata Kisiri Siri Yan Kweli 2 Yrs Asote Kama Wafungwa Wengine?? Mmmh Czan,, Ok Jela Ni Mbaya Kwel Kwa Wale Wasio Na Makosa Hata Wenye Makosa Na Wametubu Kwa Hakika Na KweliMungu Awarehem Watoke
 
Huyo binti alifungwa miaka michache sana kwa kosa alilolifanya, aache kutafuta huruma kama ya kina seya. Alipokuwa uraiani kuna watu wengine wa kawaida aliwaona kama kinyaa hvi. Ngoja alipie gharama za kujiingiza ktk umalaya akiwa mtoto. Na wazaz wake ngoja walipie gharama za kushindwa kumkunja angali mbichi.
 
Weka hata kapicha mkuu
 
Mwijaku ameshakuwa chakubimbi sasa.....sasa nimeelewa kwanini Lulu hakutaka atembelewe na mtu kama yeye....kwakuwa alijua kabisa atakuja kwenye mitandao kumuanika kwa kufikiri ana msaidia....
Sasa angalia anavyo mdhalilisha baba na Familia ya Lulu.........
Huyu jamaa anapenda umbea sana tena sana.....
 
Jela sio pazuri kabisaa me kuna mtu aliniweka polisi kituo cha kati kwa masaa ma 4 sjawahi msamehe kila nikiwaza uwa naumia sana afu ni ndugu
Km ulizingua selo ilikuwa halali yako maana sometimes mnaletaga undugu kwny serious ishu
 
Huyo mwijaku ni nani?au ndio wale vijana wa slopeee wa mjini
 
Kwani Majizo si anatunza familia.
Atatoka tu
Huyu Mwijaku ana tafuta umaarufu tuu.......kila mtu anajua fika hiyo familia ina tunzwa na majizo na pengine hata lulu hajasema yeyote kati ya aliyo yasema ndio maana nasema kuwa Mwijaku ni chakubimbi ana lazimisha umaarufu kwa kudhalilisha watu akifikiri ana wasaidia....nilifikiri alitakiwa mambo aliyo yaongea na Lulu yange baki private baini yao...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…