PrincessAnne
JF-Expert Member
- Aug 3, 2017
- 1,875
- 2,224
Huyu nae anapenda kiki mara amuoe mobeto mara lulu gerezani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wazaz wenyew akil hawana,mzaz mwenye akili hawez mruhusu mtoto aish maisha hayo,...mi mungu akinijalia ,wanangu marufuku na ujinga wa kidunia huu,ntapambana hata kama mnasema mtoto hachungwi,yaan mi ndo ntakua wale wababa wanoko.Namuona mtoto wakajala na monalisa wakiwa wanafuata nyayo za dada yao lulu,
Sijui kwanini wazazi wanashindwa ku-take control na watoto wao,
Inawezekana vipi mtoto mdogo kisa tu kauigizaji ka kijinga kijinga unamtuhusu azulure kwenye kumbi za starehe 24/7
Anachokipata lulu ni matokeo ya wazazi kutoku-play nafasi yao vizuri mpaka mwanao anateseka
ndio wengine wanasherekea kuingia huko uswahilin hawakupendiJela sio kuzuri kwa Lulu peke yake ama?
Sielewi dhima ya habari hii ni nini haswa...
Sello za huko nchi ya mama ni balaa imagine ujui kama ni mchana au jioni au usiku . Masaa manne kama ujawahi experience utakonda ukute umewekwa na wabishi mara wanakutishia kula tigo na kupiga ngumi ukuta na tambo nyingi anavowafira wageni wanaoletwa dah ni hatari sana . Mi naona ata gerezani kuliko Sello.Jela sio pazuri kabisaa me kuna mtu aliniweka polisi kituo cha kati kwa masaa ma 4 sjawahi msamehe kila nikiwaza uwa naumia sana afu ni ndugu
Nimekumbuka kisa moja bt to make story short kila mtu ana umuhimu wake anapokuwa kwenye nafasi yake ata watoto wa maghu watakuja kufungwa tu hii ndio dunia.Aisee ndo unajua leo mkuu au kwa sababu ni lulu kafungwa jela kakunung'unikia sana?
Askari magereza wadharau uraian tu ila ukiingia mikononi mwao utawajua vzr.
Weka hata kapicha mkuuDah leo nimepata bahati ya kwenda gerezani kumtembelea lulu au Elizabeth, jamani ndugu zangu kaka dada baba babu Shangazi jela sio pahala pazuri.
![]()
Najua leo wengi wetu tumekaa tunakula pilau na familia zetu lakini kuna baadhi ya wenzetu wanasheherekea sikukuu wakiwa pahala pagumu sana.
Jamani mtoto wa watu lulu leo ameniumiza saana na amefanya nijue maisha yana upande wa pili.
Nilifanikiwa kufika mapema sana gerezani kwenye saa nne hivi japo palikia na foleni kubwa na watu wengi waliitaji kuwaona ndugu zao na kuwaletea vyakula,wengi wao walikua wakina mama japo na sisi wakina baba tulikuwepo ila sio kwa idadi kubwa sana.
Nilifanikiwa kujiandikisha na kujitambulisha kwa majina na mtu ninaye taka kumuona japo mwanzoni lulu alikataa kabisa kuonana na mimi ila nilimsisitiza sana mwishoe akakubali kuonana na mimi.
Jamani mbali na makosa au bahati mmbaya alio ifanya huyu binti lakini jamani bado anahitaji huruma yetu na tumuombee sana jela sio pazuri narudia tena jela haizoeleki na Sio pazuri kabisaaa lulu anaumia na anajutia kilicho tokea na anajutia kwa nn alikua maarufu anachukia kwa nn aliinuka usiku ule kwenda kwa marehemu.anachukia na kujutia kwa nini alipokea simu.
Na mwishoe akanambia kaka mwijaku sikutegemea tulivo kua tunaishi uraiani tunavo kutana kwenye sehemu za starehe kwa kusalimiana tu kisha kila mtu anaendelea na hamsini zake sikutegemea kama leo utakuja kuniona kaka yangu mdogo wako nateseka saana naumia nimeiacha familia yangu ambayo ilikua inanitegemea kwa kila hali, kaka mmkazi zangu ndio ilikua nyenzo za kuilea familia yangu ,lakini kaka leo niko kwenye nondo hizi
Sijui mama amekula nini sijui mdogo wangu anaishije sijui baba ayangu ana hali gani ,ila ninacho amini mungu anisimamie na akaendelea kusema inawezekana yeye akawa mmbaya saana kwa kila mtu alle guswana tukio la marehemu lla anasisitiza Watanzania tumsamehe hata ikitokea leo ameachiwa ze kumpokea
Ameonge mengi saana huyu binti leo ila kwa nini nimeamua kushare na nyinyi.
JAMANI TUSAMEHEANE kwa kila tunapokosea jamani jela sio pazuri ndugu zanguni narudia tena jela sio pazuri tujifunze kusameheana,
COPY AND PEST
Km ulizingua selo ilikuwa halali yako maana sometimes mnaletaga undugu kwny serious ishuJela sio pazuri kabisaa me kuna mtu aliniweka polisi kituo cha kati kwa masaa ma 4 sjawahi msamehe kila nikiwaza uwa naumia sana afu ni ndugu
Huyo lazma ni marioo mzoefu wa darHuyu mwijaku ni nani anakuja kwa kasi na kik nnya, mara atamlea mtoto wa hamisa, sijui kesho atasema nini
Huyo mwijaku ni nani?au ndio wale vijana wa slopeee wa mjiniMwijaku ameshakuwa chakubimbi sasa.....sasa nimeelewa kwanini Lulu hakutaka atembelewe na mtu kama yeye....kwakuwa alijua kabisa atakuja kwenye mitandao kumuanika kwa kufikiri ana msaidia....
Sasa angalia anavyo mdhalilisha baba na Familia ya Lulu.........
Huyu jamaa anapenda umbea sana tena sana.....
Huyu Mwijaku ana tafuta umaarufu tuu.......kila mtu anajua fika hiyo familia ina tunzwa na majizo na pengine hata lulu hajasema yeyote kati ya aliyo yasema ndio maana nasema kuwa Mwijaku ni chakubimbi ana lazimisha umaarufu kwa kudhalilisha watu akifikiri ana wasaidia....nilifikiri alitakiwa mambo aliyo yaongea na Lulu yange baki private baini yao...Kwani Majizo si anatunza familia.
Atatoka tu