TEAM 666
JF-Expert Member
- Dec 7, 2017
- 4,399
- 8,594
Dah leo nimepata bahati ya kwenda gerezani kumtembelea lulu au Elizabeth, jamani ndugu zangu kaka dada baba babu Shangazi jela sio pahala pazuri.
Najua leo wengi wetu tumekaa tunakula pilau na familia zetu lakini kuna baadhi ya wenzetu wanasheherekea sikukuu wakiwa pahala pagumu sana.
Jamani mtoto wa watu lulu leo ameniumiza saana na amefanya nijue maisha yana upande wa pili.
Nilifanikiwa kufika mapema sana gerezani kwenye saa nne hivi japo palikia na foleni kubwa na watu wengi waliitaji kuwaona ndugu zao na kuwaletea vyakula,wengi wao walikua wakina mama japo na sisi wakina baba tulikuwepo ila sio kwa idadi kubwa sana.
Nilifanikiwa kujiandikisha na kujitambulisha kwa majina na mtu ninaye taka kumuona japo mwanzoni lulu alikataa kabisa kuonana na mimi ila nilimsisitiza sana mwishoe akakubali kuonana na mimi.
Jamani mbali na makosa au bahati mmbaya alio ifanya huyu binti lakini jamani bado anahitaji huruma yetu na tumuombee sana jela sio pazuri narudia tena jela haizoeleki na Sio pazuri kabisaaa lulu anaumia na anajutia kilicho tokea na anajutia kwa nn alikua maarufu anachukia kwa nn aliinuka usiku ule kwenda kwa marehemu.anachukia na kujutia kwa nini alipokea simu.
Na mwishoe akanambia kaka mwijaku sikutegemea tulivo kua tunaishi uraiani tunavo kutana kwenye sehemu za starehe kwa kusalimiana tu kisha kila mtu anaendelea na hamsini zake sikutegemea kama leo utakuja kuniona kaka yangu mdogo wako nateseka saana naumia nimeiacha familia yangu ambayo ilikua inanitegemea kwa kila hali, kaka mmkazi zangu ndio ilikua nyenzo za kuilea familia yangu ,lakini kaka leo niko kwenye nondo hizi
Sijui mama amekula nini sijui mdogo wangu anaishije sijui baba ayangu ana hali gani ,ila ninacho amini mungu anisimamie na akaendelea kusema inawezekana yeye akawa mmbaya saana kwa kila mtu alle guswana tukio la marehemu lla anasisitiza Watanzania tumsamehe hata ikitokea leo ameachiwa ze kumpokea
Ameonge mengi saana huyu binti leo ila kwa nini nimeamua kushare na nyinyi.
JAMANI TUSAMEHEANE kwa kila tunapokosea jamani jela sio pazuri ndugu zanguni narudia tena jela sio pazuri tujifunze kusameheana,
COPY AND PEST