Maneno ya Mzee Kikwete " Labda Mambo Yaharibike Saana " yametimia rasmi

Maneno ya Mzee Kikwete " Labda Mambo Yaharibike Saana " yametimia rasmi

Lord Denning

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2015
Posts
23,491
Reaction score
57,973
Wahenga walisema nyakati huzungumza.

Kuna siku Mzee Kikwete alisema Mgombea wa CCM ni Samia ila haitakuwa hivyo labda mambo yaharibike saana.

Sijui kwa nini yule mzee aliongea yale maneno, ila kwa haya yanayotokea hapa nchini Tanzania sasa ni dhahiri shahiri kuwa Maneno yale yametimia. MAMBO YAMEHARIBIKA SANA

Watanzania wanatekwa, wanauwawa, wanapotezwa. Kibubu cha nchi pale hazina kinakombwa vibaya sana . Watanzania wakilalamika wanaambiwa wataozea jela.

Kubwa zaidi wamelianzisha na jirani Kenya. Wanawatumia Wabunge ambao wanatoa siri zao waziwazi kuwa kumbe vyombo vya dola Tanzania vinatesa na kuua watu. Wanaongea maneno hayo bungeni ambapo hansard zinatunzwa karne ba karne.

Mambo yameshaharibika.
 
Wahenga walisema nyakati huzungumza.

Kuna siku Mzee Kikwete alisema Mgombea wa CCM ni Samia ila haitakuwa hivyo labda mambo yaharibike saana.


Sijui kwa nini yule mzee mnafiki aliongea yale maneno, ila kwa haya yanayotokea hapa nchini Tanzania sasa ni dhahiri shahiri kuwa Maneno yale yametimia. MAMBO YAMEHARIBIKA SANA

Watanzania wanatekwa, wanauwawa, wanapotezwa. Kibubu cha nchi pale hazina kinakombwa vibaya sana na Mama na Wasaidizi wake. Watanzania wakilalamika wanaambiwa wataozea jela au watauwawa.

Kubwa zaidi wamelianzisha na jirani Kenya. Wanawatumia Wabunge ambao wanatoa siri zao waziwazi kuwa kumbe vyombo vya dola Tanzania vinatesa na kuua watu. Wanaongea maneno hayo bungeni ambapo hansard zinatunzwa karne ba karne.

Mambo yameshaharibika. Watanzania tuamue tunamzuiaje huku mama kuwa Rais kwa awamu nyingine. Wenye akili kwenye vyombo vya dola Watusaidie.
Jipe moyo
 
Ukitaka upoteze muda wako wewe fuatilia siasa za Tanzania zina usenge mwingi sana sio watawala sio wapinzani​
Kwa kuwa chama chake kimeshampitisha sisi tuna jambo moja tu. Akishinda kwa nguvu tutahakikisha mwaka wake wa kwanza tu anakamatwa kama Milosevic wa Yugoslavia na kupelekwa The Hague.

Hapa tutawaomba hata Marekani au Uingereza wafanye jambo.
 
Wahenga walisema nyakati huzungumza.

Kuna siku Mzee Kikwete alisema Mgombea wa CCM ni Samia ila haitakuwa hivyo labda mambo yaharibike saana.

Sijui kwa nini yule mzee aliongea yale maneno, ila kwa haya yanayotokea hapa nchini Tanzania sasa ni dhahiri shahiri kuwa Maneno yale yametimia. MAMBO YAMEHARIBIKA SANA
Unajua nimejiuliza sana. Hivi katika mahusiano ya jamii, kuna implication yeyote kuhusu tabia ya mwanamke iwapo anatafuta mume kama mke wa kwanza, wanaume wote waone hafai, kisha aamue basi angalau niwe mke wa pili, bado wanaume waone hafai hata kuwa mke wa pili, na kisha aseme basi kama hawa wanaume wanaona sifai kuwa mke wa kwanza na wa pili basi niwe mke wa tatu, ndipo angalau apate nafasi hiyo. Sasa tutakuwa tunakosea tukiona kwamba mwanamke wa namna hiyo anaweza kuwa na matatizo fulani? Je inawezekana Kikwete aliona hilo?
 
Unajua nimejiuliza sana. Hivi katika mahusiano ya jamii, kuna implication yeyote kuhusu tabia ya mwanamke iwapo anatafuta mume kama mke wa kwanza, wanaume wote waone hafai, kisha aamue basi angalau niwe mke wa pili, bado wanaume waone hafai hata kuwa mke wa pili, na kisha aseme basi kama hawa wanaume wanaona sifai kuwa mke wa kwanza na wapili basi niwe mke wa tatu, ndipo angalau apate nafasi hiyo. Sasa tutakuwa tunakosea tukiona kwamba mwanamke wa namna hiyo anaweza kuwa na matatizo fulani? Je inawezekana Kikwete aliona hilo?
Inawezekana ingawa naye huyu mzee ni sehemu ya tatizo maana kwa sasa ni mmoja wa wanufaika wakubwa wa utawala wa kidhalimu wa huyu mama
 
Wahenga walisema nyakati huzungumza.

Kuna siku Mzee Kikwete alisema Mgombea wa CCM ni Samia ila haitakuwa hivyo labda mambo yaharibike saana.

Sijui kwa nini yule mzee aliongea yale maneno, ila kwa haya yanayotokea hapa nchini Tanzania sasa ni dhahiri shahiri kuwa Maneno yale yametimia. MAMBO YAMEHARIBIKA SANA

Watanzania wanatekwa, wanauwawa, wanapotezwa. Kibubu cha nchi pale hazina kinakombwa vibaya sana . Watanzania wakilalamika wanaambiwa wataozea jela.

Kubwa zaidi wamelianzisha na jirani Kenya. Wanawatumia Wabunge ambao wanatoa siri zao waziwazi kuwa kumbe vyombo vya dola Tanzania vinatesa na kuua watu. Wanaongea maneno hayo bungeni ambapo hansard zinatunzwa karne ba karne.

Mambo yameshaharibika.
Hakuna kilichoharibika

Chakandumuz mmelikoroga wenyewe
 
Back
Top Bottom