Maneno ya Nape Nnauye baada ya Makonda kuteuliwa. Je, ni dharau?

Maneno ya Nape Nnauye baada ya Makonda kuteuliwa. Je, ni dharau?

nuporo

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2018
Posts
1,534
Reaction score
3,387
millardayo-22-10-2023-0001.jpg

Kaandikwa mtandao X

"Mdogo wangu Paul, karibu sana kwenye uongozi wa juu kabisa wa Chama chetu. Nina hakika umetumia vizuri muda wa likizo and now you are ready for the job! HONGERA kwa kuaminiwa na nakutakia kila la kheri! "

Je, ni dharau au woga?

Au Nape ndie kampa mchongo huo Makonda? Wa uteuzi?
 
Kinachotuchelewesha kuendelea ni kuangalia kigezo cha mtu kupiga domo sana kama kigezo cha kuwa kiongozi badala ya kuangalia na uwezo wake darasani ulikuwaje? Uzalendo wake kwa Taifa ukoje?
Je, anawapenda Watanzania wenzake? N.k
 
Nape Mnauye alikua analia lia sana akiwa Nje ya Serikali lakini sasa nae anakula vyake amegeuka kuwa kichomi Makonda hakustahili kwa tuhuma zote zile alikua nazo nadhani atatumia nafasi hiyo kujitafakari saana kama ana akili ajue vyeo havidumu..
Ila pia aweza kukigawa chama wengi hawakuridhika nae..
 
Kashindwa kabisa kujizuia au kuifanya iwe private, kama ana nia ya kumpongeza angemcheki private, hapa ni kaonyesha ana chuki nae na aliamini makonda keshapotea huku yeye akijiona yuko na ataendelea kuwa ktk nchi ya neema...
 
Kinachotuchelewesha kuendelea ni kuangalia kigezo cha mtu kupiga domo sana kama kigezo cha kuwa kiongozi badala ya kuangalia na uwezo wake darasani ulikuwaje? Uzalendo wake kwa Taifa ukoje?
Je, anawapenda Watanzania wenzake? N.k
Sasa wewe ndio boya haswa... unaangalia darasani karne hii??
 
Back
Top Bottom