Ambition plus
JF-Expert Member
- Feb 23, 2018
- 6,101
- 11,381
Ni wachache wataelewaYOTE KHERI
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni wachache wataelewaYOTE KHERI
Kwa taarifa yako tu ni kwamba kabla ya huu Uteuzi Wawili hawa ambao walikuwa na Bifu Kali walishaitwa Chalinze ( kwa anayeongoza nchi Kisiri ) na Kupatanishwa na sasa wako pamoja na Watashirikiana vyema na hutoamini. Ichukue na Iamini hii kwa 100% zote sawa Mkuu?View attachment 2789597
Kaandikwa mtandao X
" mdogo wangu Paul, karibu sana kwenye uongozi wa juu kabisa wa Chama chetu. Nina hakika umetumia vizuri muda wa likizo and now you are ready for the job! HONGERA kwa kuaminiwa na nakutakia kila la kheri! "
Je, nidharau au woga?
Au Nape ndie kampa mchongo huo makonda? Wa uteuzi?
Chawa ndivyo walivyo. Ameona maza kamrejesha mshikaji wake wa siri ndani, ndani kabisaView attachment 2789597
Kaandikwa mtandao X
" mdogo wangu Paul, karibu sana kwenye uongozi wa juu kabisa wa Chama chetu. Nina hakika umetumia vizuri muda wa likizo and now you are ready for the job! HONGERA kwa kuaminiwa na nakutakia kila la kheri! "
Je, nidharau au woga?
Au Nape ndie kampa mchongo huo makonda? Wa uteuzi?
Naye hana lolote bali watamgeuka. Isitoshe, Mungu atamlipa kwa anayofanya ukiachia mbali uhawaraaaa wake na maza.Kwa taarifa yako tu ni kwamba kabla ya huu Uteuzi Wawili hawa ambao walikuwa na Bifu Kali walishaitwa Chalinze ( kwa anayeongoza nchi Kisiri ) na Kupatanishwa na sasa wako pamoja na Watashirikiana vyema na hutoamini. Ichukue na Iamini hii kwa 100% zote sawa Mkuu?
Utoto mwingi, Mwili mkubwa Ila utoto mwingi mwambie apunguze utotoView attachment 2789597
Kaandikwa mtandao X
" mdogo wangu Paul, karibu sana kwenye uongozi wa juu kabisa wa Chama chetu. Nina hakika umetumia vizuri muda wa likizo and now you are ready for the job! HONGERA kwa kuaminiwa na nakutakia kila la kheri! "
Je, nidharau au woga?
Au Nape ndie kampa mchongo huo makonda? Wa uteuzi?
Watoto wasio riziki huwa hawakui japo wanaweza kujifanya vijogoo wakati ni vipandwa tu vya kawaidaUtoto mwingi, Mwili mkubwa Ila utoto mwingi mwambie apunguze utoto
Bumunda halinaga akili kabisa hilo.Bichwa kubwa ubongo umejaa makamasi.View attachment 2789597
Kaandikwa mtandao X
" mdogo wangu Paul, karibu sana kwenye uongozi wa juu kabisa wa Chama chetu. Nina hakika umetumia vizuri muda wa likizo and now you are ready for the job! HONGERA kwa kuaminiwa na nakutakia kila la kheri! "
Je, nidharau au woga?
Au Nape ndie kampa mchongo huo makonda? Wa uteuzi?
Zote hizo ni takataka za siasaView attachment 2789597

Mkuu malizia hii nahau tafadhar😂Shamba la bwana kheri na mbuzi ni wa bwana kheri.
Kwani Hangaya naye darasani alikuwaje?Kinachotuchelewesha kuendelea ni kuangalia kigezo cha mtu kupiga domo sana kama kigezo cha kuwa kiongozi badala ya kuangalia na uwezo wake darasani ulikuwaje? Uzalendo wake kwa Taifa ukoje?
Je, anawapenda Watanzania wenzake? N.k
Kunguru ni kunguru tu, huwa hafugiki.Labda safari hii makonda atakuwa na nidhamu kwa viongozi wenzake kwani enzi zile kijana huyu alivimba kichwa kiasi cha kujiona ni namba mbili wa nchi hii na kufanya undava atakavyo
zama zile alivimba sana na kuona ana baba na anadeka sana japo awali ana waliomkuza ndio hao waliomrudisha. Swali ni je atavimba tena kama wakati ule akijua waliomkuza na kumrudisha chatini wapo nyuma yake? Safari hii huenda akapungua mvimbo akitarajia kugombea ubunge kuelekea uwaziri nyeti na hatimaye njia iwe nyeupe kukifikia kiti cha enzi kuu. Rais mbabe ajaye tena!Kunguru ni kunguru tu, huwa hafugiki.
Fisi ni fisi tu, hula mizoga.
Kenge ni kenge tu!
Wote watoto wa Mama.....wwtqjuana wenyeweView attachment 2789597
Kaandikwa mtandao X
" mdogo wangu Paul, karibu sana kwenye uongozi wa juu kabisa wa Chama chetu. Nina hakika umetumia vizuri muda wa likizo and now you are ready for the job! HONGERA kwa kuaminiwa na nakutakia kila la kheri! "
Je, nidharau au woga?
Au Nape ndie kampa mchongo huo makonda? Wa uteuzi?
Sijui kwa kweliKwani Hangaya naye darasani alikuwaje?
🤣Sijui kwa kweli