Maneno ya Nape Nnauye baada ya Makonda kuteuliwa. Je, ni dharau?

Kwa taarifa yako tu ni kwamba kabla ya huu Uteuzi Wawili hawa ambao walikuwa na Bifu Kali walishaitwa Chalinze ( kwa anayeongoza nchi Kisiri ) na Kupatanishwa na sasa wako pamoja na Watashirikiana vyema na hutoamini. Ichukue na Iamini hii kwa 100% zote sawa Mkuu?
 
Chawa ndivyo walivyo. Ameona maza kamrejesha mshikaji wake wa siri ndani, ndani kabisa
 
Naye hana lolote bali watamgeuka. Isitoshe, Mungu atamlipa kwa anayofanya ukiachia mbali uhawaraaaa wake na maza.
 
Utoto mwingi, Mwili mkubwa Ila utoto mwingi mwambie apunguze utoto
 
Bumunda halinaga akili kabisa hilo.Bichwa kubwa ubongo umejaa makamasi.
 
Zote hizo ni takataka za siasa
 
Zote hizo ni takataka za siasa
 
Kinachotuchelewesha kuendelea ni kuangalia kigezo cha mtu kupiga domo sana kama kigezo cha kuwa kiongozi badala ya kuangalia na uwezo wake darasani ulikuwaje? Uzalendo wake kwa Taifa ukoje?
Je, anawapenda Watanzania wenzake? N.k
Kwani Hangaya naye darasani alikuwaje?
 
Labda safari hii makonda atakuwa na nidhamu kwa viongozi wenzake kwani enzi zile kijana huyu alivimba kichwa kiasi cha kujiona ni namba mbili wa nchi hii na kufanya undava atakavyo
Kunguru ni kunguru tu, huwa hafugiki.
Fisi ni fisi tu, hula mizoga.
Kenge ni kenge tu!
 
Kunguru ni kunguru tu, huwa hafugiki.
Fisi ni fisi tu, hula mizoga.
Kenge ni kenge tu!
zama zile alivimba sana na kuona ana baba na anadeka sana japo awali ana waliomkuza ndio hao waliomrudisha. Swali ni je atavimba tena kama wakati ule akijua waliomkuza na kumrudisha chatini wapo nyuma yake? Safari hii huenda akapungua mvimbo akitarajia kugombea ubunge kuelekea uwaziri nyeti na hatimaye njia iwe nyeupe kukifikia kiti cha enzi kuu. Rais mbabe ajaye tena!
 
Wote watoto wa Mama.....wwtqjuana wenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…