Maneno ya Rais Ruto kuhusu kilimo ni ya kuwapumbaza Watanzania

Pang Fung Mi

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2022
Posts
6,653
Reaction score
13,919
Wasalaam nyote,

Kwenye kikao/Mkutano wa Rais Ruto na Rais Hassan, na wadau wengine Rais Ruto anasikika akisema fursa kubwa ijayo ya utajiri ipo kwenye kilimo, ameweka bayana kuwa yeye ni mdau wa kilimo, kwa kiasi amekosoa kazi ya immigration wetu kule mpakani, japo amesifu mabadiriko na jitihada za Rais Hassan.

Maajabu huyu Ruto anahimiza tuzalishe kwa wingi Mali ghafi za kilimo ili tuuze Kenya, hajahimiza value addition on agricultural produces, hajagusa kuimarisha viwanda vya kuchakata bidhaa za kilimo.

Hajasema tuwapelekee unga, anataka mpeleke mahindi, he couldn't challenge Tanzania to package products and increase on her exports.

Ruto was too simplistic on his statements specifically on what he called advice kwa Tanzania.

I hope president Hassan was not overwhelmed by Ruto's smeared words.

Kenyans have long known that Marais wa Tanzania wakisifiwa hufanya kinachowapendeza watoa sifa.

Kenyans have always been arrogant and shall always be, they have never had any good advice for Tanzania that isn't for their benefits. Be warned and open your eyes and brains.

Brain was given for free but how to use it? It's your task to unfold that potential to the optimal level

Shukrani 🙏🙏🙏

Wadiz
 
Okay. Sasa sisi tupenda kusifiwa na vichwa vinakuwa vikuubwa
Ukisifiwa na mshindani wako ni hatari sana ni tafsiri ya kushikwa ama kuwa umelegea to their advantage. Tanzania isnt a country that creates economic enablers to her people to do business.
 
Wasalaam nyote,

Kwenye kikao/Mkutano wa Rais Ruto na Rais Hassan, na wadau wengine Rais Ruto anasikika akisema fursa kubwa ijayo ya utajiri ipo kwenye kilimo, ameweka bayana kuwa yeye ni mdau wa kilimo, kwa kiasi amekosoa kazi ya immigration wetu kule mpakani, japo amesifu mabadiriko na jitihada za Rais Hassan.

Maajabu huyu Ruto anahimiza tuzalishe kwa wingi Mali ghafi za kilimo ili tuuze Kenya, hajahimiza value addition on agricultural produces, hajagusa kuimarisha viwanda vya kuchakata bidhaa za kilimo.

Hajasema tuwapelekee unga, anataka mpeleke mahindi, he couldn't challenge Tanzania to package products and increase on her exports.

Ruto was too simplistic on his statements specifically on what he called advice kwa Tanzania.

I hope president Hassan was not overwhelmed by Ruto's smeared words.

Kenyans have long known that Marais wa Tanzania wakisifiwa hufanya kinachowapendeza watoa sifa.

Kenyans have always been arrogant and shall always be, they have never had any good advice for Tanzania that isn't for their benefits. Be warned and open your eyes and brains.

Brain was given for free but how to use it? It's your task to unfold that potential to the optimal level

Shukrani 🙏🙏🙏

Wadiz
Lakin kama kweli kuna uhakika wa soko kwanini msigawane Kaz Mzee. Hii dunia inaendeshwa katika mfumo wa win win situation. Huna haja ya kuprocess we lima mahindi kwa wingi halafu pandisha bei kufidia pale ambapo ungepata kama ungeprocess. Mbona tuna wivu wa kijinga hiv lakin.
 
Huna akili hujielewi, you equate A slave master vs a slave that's shit,
 
Back
Top Bottom