Lamzettttt
JF-Expert Member
- May 28, 2020
- 1,218
- 3,481
Wangekua na uwezo wangefanya hivyoKama vipi wahame basi bali hili watuachie land waende kupanga huko mbele
Mkuu sasa mbona wanabaguliwa na weupe wenzao mkuuSasa hao si weupe wenzao?
Mbona team kama Al hilal ya Sudan haina mwarabu koko hata mmojajamii za wacomoro wengi ni machotara na waarabu.Na jamii ya wasudani wengi ni wanubi amabao wamechanganyika na waarabu na wahabeshi ambao wamechanganyika na waarabu.Na hata wabantu waliopo hasa kule north darfur idadi yao ni ndogo kuliko waarabu na machotara.So ni sawa kwa comoro na north sudan kujiunga na umoja wa nchi za kiarabu.
Upo sahii mkuu ubaguzi ni dhambi ya woteUbaguzi hata sisi tunao,
Tunaona Ngozi nyeupe ni bora kuliko nyeusi,
Mtoto mdogo akiwa mweupe kila Mtu atamsifia kua ni Mzuri lakini akiwa Mweusi watamzungumzia kwa Weusi wake,
Mwanamke akiwa Mweupe huonekana mzuri na mrembo akiwa Mweusi ataonekana havutii na hao Wanawake hata kwenye thamani ya Mahari hutofautishwa,
Ukifua utatenganisha nguo nyeupe na nyeusi, utaanza kwa kufua nyeupe kwa ustadi mzuri na kumalizia kulipua lipua nguo nyeusi,
Rais ana haki ya kupata hiyo hofu, wahamiaji wakiwa wengi kuna uwezekano wa kuzaliana kwa wingi na baada ya Miaka fulani kizazi cha weupe asilia kikapotea,
Sio WaTunisia pekee wenye hofu hiyo hata Wachina, Warusi, Waingereza,Wajerumani, tena Waisrael walienda mbali sana kwa kusema Ngozi nyeusi ni kama Kansa isipoondolewa haraka husambaa kila sehemu.
We ni mzungu au mwarabu koko wa haki ya mungu mimi ni mwarabuhazifanyi,
data zinaonesha, africa ndiyo mnaoongoza kumeza ARV na kufa kwa Ngoma
Wachezaji wengi wa mpira sudani ni wasudani wabantu na wahabeshi na wanubi.Angalia hata ligi yao mkuuMbona team kama Al hilal ya Sudan haina mwarabu koko hata mmoja
mimi ni Ali Ndago wa HombozaWe ni mzungu au mwarabu koko wa haki ya mungu mimi ni mwarabu
Huyu mwarabu mkuuWe ni mzungu au mwarabu koko wa haki ya mungu mimi ni mwarabu
Chotaramimi ni Ali Ndago wa Homboza
hapana , mzaramo pyua kabisaChotara
Sawa mkuu.hapana , mzaramo pyua kabisa
Sudan hamna mwarabu sema ipo umoja wa kiarabu kwa sababu wanaongea kiarabu tu ila ngozi ni nyeusiWachezaji wengi wa mpira sudani ni wasudani wabantu na wahabeshi na wanubi.Angalia hata ligi yao mkuu
Kuna wale waarabu koko nywele ngumu mpaka anaapia mi ni mwarabuHuyu mwarabu mkuu
Wapo mkuu nenda Khartoum,north darfur na port sudan na miji inayopakana na Egypt mkuu.Sudan hamna mwarabu sema ipo umoja wa kiarabu kwa sababu wanaongea kiarabu tu ila ngozi ni nyeusi
Wacomoro na wapemba ni machotara haoKuna wale waarabu koko nywele ngumu mpaka anaapia mi ni mwarabu
Ajabu sanaKweli mkuu waarabu ukiwakuta paris wanalalamika wakibaguliwa ulaya.Lakini wao kuwabagua waafrika wanaona sawa
Tatizo lako huelewi Uarabu ni nini na Uafrika ni nini .FaizaFoxy huwa anawaita hao Waarabu ni waafrika kumbe ni 'race' mbili tofauti kabisa.
Mbona Sudan hujaitajaWale si waafrika, mipaka ya mabara imewaingiza ili ramani ya afrika iwe imetengenishwa na maji na mabara mengine. Ndio maana huwa hakuna hamasa sana timu zao zinapofika hatua za juu kwenye michuano ya kidunia tofauti na nchi za weusi. Tunisia ni nchi ya ulaya yenye unasaba na uarabu iliyopo afrika. Morocco, algeria, misri na tunisia zina nyodn sana kwa waafrika wenzao na ndiyo maana wapo kwenye umoja wa nchi za kiarabu duniani