Maneno ya Rais wa Tunisia ni dharau kwa Waafrika

Source of your information please.
 
Kwa hiyo wewe ni mwarabu?
 
Dada
Dada uarabu ni rangi ya ngozi .Twende ramalah au north darfur uone kama wewe utaitwa mwarabu hata kama una jina la kiarabu
 
Eti unasema Mwarabu sio rangi?....
Kwa hiyo wewe ni Mwarabu...hahahaha...
 
Kawaite watunisia kama raisi Kaisi waafrika afu uone jibu watakalokupa mpendwa.
 
Tunisia ya Ulaya watoke wapi?, Bara la Africa ni watoto wa Ham, alie mtoto wa Nuh. HAM alizaa mtoto wa kwanza, CUSH( Weusi wote Kusini ya Jangwa la Sahara, weusi wote wenye nywele laini wa India, Sirilanka, Papua, Vunuatu na Visiwa vya Pasifiki).HAM Mtoto wa Pili ni (Mizraim au MISRI alikaa hapo Misri au Egypt na Palestina walikaa Sinai). HAM Mtoto wa tatu ni PUT( Ambao ni Libya, Tunisia, Morocco, Algeria, Mauritania na Sahara Magharibi). HAM Mtoto wake wa Nne ni CANAAN( Kizazi chake kiliangamizwa na Israel, hakipo) kilikaa Sinai na Eneo la Israel ya leo.
Kwahiyo hakuna wazungu hapo wote ni Waafrika.

Sent from my TECNO B1g using JamiiForums mobile app
 
Hii story umetoa wapi?????Kwenye vitabu vya wayahudi au waarabu???
 
Dada

Dada uarabu ni rangi ya ngozi .Twende ramalah au north darfur uone kama wewe utaitwa mwarabu hata kama una jina la kiarabu
Uarabu si jina na sio rangi.


Darfur hao, wana tofauti ipi na wewe?

Na hawa Wapalestina, wana tofauti ipi na wewe?...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…