Maneno ya Rais wa Tunisia ni dharau kwa Waafrika

Kumekua na maandamano ya wananchi wake kumtaka ajiuzulu/atengue kauli kutokana na hiyo kauli. Pia maandamano ya kupinga ubaguzi yaliyofanywa na watunisia wenyewe
 
Wenzetu wanalinda races zao pamoja na generation yao kutochangamana na migrants (wazamiaji).

Kwa sababu itapoteza uhalisia wa chimbuko lao na asili yao.​
 
Nenda north darfur uangalie wabantu na waarabu wote lugha moja ila kinachowagombanisha ni nini.Kama uarabu sio rangi faiza
Wewe kweli juha, juzijuzi tu walivyouliwa na kufukuzwa Waafrika huko Afrika Kusini walifukuzwa kwa rangi zao? Au umesahau?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…