Maneno ya Rais wa Tunisia ni dharau kwa Waafrika

Maneno ya Rais wa Tunisia ni dharau kwa Waafrika

Comoro pia ipo umoja wa kiarabu, na ipo hapo jirani na mkoa wa Lindi na Mtwara.

Sudan (kabla ya kugawiwa sehemu mbili walikua) wamepakana na Kenya na pia wapo umoja wa nchi za Kiarabu.
Unaenda mbali, pemba kama si muungano wale wangekuwa umoja wa kiarabu. Sudani ina waarabu, commoro wale watu wana ushombeshombe fulani hivi mithili ya waarabu. Mbona hujajumuisha madagascar? Ina watu wenye ushombeshombe kama wahindi. Turudi kwenye mada tunisia, misri, algeria, morocco na libya typically ni nchi za kiarabu na wapo kwenye umoja wao duniani. Chad, mali, niger na mauritania zina uarabuarabu japo wengi ni wabantu. Ila hao akina tunisia hata wakisema wajitenge na wabantu waacheni wakaungane na ndugu zao wa bara jingine
 
Back
Top Bottom