Siri ya sifuri
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 2,335
- 1,967
- Thread starter
- #21
Siamini, ni uzushi tu. Na kama kweli tunagongewa, basi wenza wetu wanashiriki kwa hiyari yao, si kwakulazimishwa.ko mnagongewa na ma beach boy
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siamini, ni uzushi tu. Na kama kweli tunagongewa, basi wenza wetu wanashiriki kwa hiyari yao, si kwakulazimishwa.ko mnagongewa na ma beach boy
Vizuri, tusaidie kujibu hili swali; ni mbinu gani mnayotumia kuwaingilia wanawake kimwili mkiwa ndani ya maji mnawafundisha kuogelea bila kusababisha madhara yoyote!?Mimi nafundisha kuogelea mkuu..nichek.
Kuwa na adabu kijana, mimi siyo hao Beach boyz..Vizuri, tusaidie kujibu hili swali; ni mbinu gani mnayotumia kuwaingilia wanawake kimwili mkiwa ndani ya maji mnawafundisha kuogelea bila kusababisha madhara yoyote!?
Mwanamke ambae ameenda kufundishwa kuogelea hawezi kuwa na utulivu wakutosha kufanya mapenzi ndani ya maji, kwa msaada wa tairi la gari. Hao unaowazungumzia wewe ni ma'beach girls, wale wameshazoea kucheza kwenye maji, na wanajuana na ma'beach boys, kwahiyo wanaweza kutoa ushirikiano kufanikisha hilo, lakini kwa wale waliokwenda kwa ajili ya kuchezea maji (kujiburudisha)kungonoka ndani ya maji ni zoezi gumu mno kwao.Huwa wanakuwa wameshikilia matairi ya magari ambayo huwafanya waeelee kwenye maji huku wakifanya yao.
Chumvi ya baharini siyo kali kiasi cha kukifanya papuchi isinyae kwa kiwango cha kutisha kama mleta mada anavyoeleza.
Kwahiyo kuchakatana kwenye maji mkiwa kwenye tairi ya gari inawezekana. Ingawa mara nyingi mademu wanakuwa wameridhia kugawa k.
Wageni huwa wanapelekwa kwenye kingo za bahari ama swimming pool wanajishikizaMwanamke ambae ameenda kufundishwa kuogelea hawezi kuwa na utulivu wakutosha kufanya mapenzi ndani ya maji, kwa msaada wa tairi la gari. Hao unaowazungumzia wewe ni ma'beach girls, wale wameshazoea kucheza kwenye maji, na wanajuana na ma'beach boys, kwahiyo wanaweza kutoa ushirikiano kufanikisha hilo, lakini kwa wale waliokwenda kwa ajili ya kuchezea maji (kujiburudisha)kungonoka ndani ya maji ni zoezi gumu mno kwao.
Samahani mkuu,nilidhani utatuibia siri kwasababu nawewe ni mtaalam sawa na wao.Kuwa na adabu kijana, mimi siyo hao Beach boyz..
Enhee! hapo sawa,sasa hapo hatuwezi kuwalaumu beach boys kwasababu tayari kunakuwa na makubaliano.na hilo linaweza kufanywa hata na wale wanaokwenda na wapenzi wao, si lazima awe beachboy na wala hawaitaji tairi.Wageni huwa wanapelekwa kwenye kingo za bahati ama swimming pool wanajishikiza
Siwezi, kwasababu nikishakukueleza wewe haitakuwa siri tena.labda ukawaulize wana Arsenal, naiona kama sifuri kwenye Jezi yao!Mkuu Siri ya sifuri, japo ni nje ya mada, unaweza nielezea siri ya sifuri?
MTETEZI WA WATAFUTAJI.Mbunge wa jimbo la Beach boys.
Hapana, hakuna wanachonipa wala sifahamiani na mmoja wao,bali niliona namna wanavyopambana kutafuta riziki kwenye mazingira magumu ndio nikakumbuka namna wavyosemwa vibaya mtandaoni.Mbona unawatetea beach boys,au wanakupa posho
Hao ni beach girls, wanajuana na mabwana zao.Hio ni upande mmoja, mwingine wenyewe wanatoa huduma za yaaas bila shida yoyote.
Kuogelea.Ni kweli, ila mke wako anafuata Nini kwenye maji wakati haupo?
Kuogelea.
Mimi mwenyewe ni Baharia.Swali dogo tu. Ukiwa na binti yako unaweza kumpeleka na kumwachia beach boy amfundishe?
Itakuwa ni beach girl huyo uliemshuhudia wewe, kila siku wanakuwepo huko na beach boys ndio mabwana zao!We wasema, mi nilishuhudia Binti anamegwa kisela...
Kwakulazimishwa lakini,sio wale wanaojipeleka wenyewe na kutafuta sehemu za kushikilia wakachukuliwa na Video, hao ni ma'beach girls na hao beach boys ndio mabwana zao kila siku wanawafuata huko.Mkuu anataka ushuhuda wa waliomegwa na beach boys🙌🤣🤣
Wewe utakuwa ndio wale beach boys wenyeweSalaam wakuu:
Kuna hili jambo lakushangaza na linalovuma sana linalodaiwa kufanywa na vijana wanaosaidia watu wanaokwenda kucheza baharini (beach boys)
Kwenye mazingira hatarishi ya baharini tena kwenye maji ya kina kirefu kiasi ambacho mtu hawezi kugusa chini inawezekanaje kuingiliana kimwili!?
Kama kweli vijana hao wanawafanya wake zetu huku miili yao wote ikiwa inaeleya ndani ya maji tena ya chumvi kali, basi watakuwa na ufundi/usanii wa hali ya juu.(tuelekezane wakuu🤣🤣) kwasababu hata kama uume utasimama vyema, uke utasinyaa kiasi ambacho hautaweza kuruhusu uume uingie na kutoka hadi mwanaume afike mshindo,hata kama watapakana mafuta mengi bado tu litakuwa ni zoezi lenye usumbufu mkubwa, halitakuwa na raha kwa yeyote zaidi ya maumivu. labda waishie kuwatia madole tu.
Ushauri:Tuepuke ujinga wakuwazuia wake zetu wazuri watiifu na mabint zetu wapendwa kwenda beach kwasababu ya uvumi wa maneno yasiyo na ukweli wowote.