Maneno ya Uzushi wanaozushiwa 'Beach boys' hayana ukweli wowote

Maneno ya Uzushi wanaozushiwa 'Beach boys' hayana ukweli wowote

IMG_20231203_025638.jpg

Uzi bila picha ni uzushi
 
Wakala kazini,mmekimbiza watu kisa ushenzi wenu huo

Sahizi mnataka kuwarudisha kwa kigezo Cha kina kirefu
 
🤣🤣Shukrani mkuu!
Hiko kidume kimesimama kwa miguu yote miwili, hii inadhihirisha kuwa huu mchezo hauchezwi kwenye kina kirefu cha maji,usawa huu wa maji kunakuwa na watu wengi, kama ni msichana ambaye hana mazoea angelalamika na kuomba msaada, lakini hawa ni ma'beach girls, ni wazoefu wamezoea kufanywa ndani ya maji.sio watoto na wake zetu mnaowasema.
 
Kwakulazimishwa lakini,sio wale wanaojipeleka wenyewe na kutafuta sehemu za kushikilia wakachukuliwa na Video, hao ni ma'beach girls na hao beach boys ndio mabwana zao kila siku wanawafuata huko.
Kumbe kuna piece zinalika kule bure bure
 
Ushirikiano, wanatoa tu, ushakunywa vibaba viwili vya maji unategemea nini
Mkuu ushawahi kunywa maji ya bahari kwa bahati mbaya wakati unaogelea!?
Kutu moja tu atapanda juu mchangani kwa kusuasua, hiyo nguvu ya kutoa mzitoa anaitolea wapi!?
 
In shot nenda mikadi beach kigamboni mpaka songoro Marine ujione jinsi watu wanavokula tunda kimasihara masihara wakiwa na boya , myafute mtu huyu anaifahamika kama Mtanga, Atakupa storry zote ,...
Tembea ujionee mida ya juoni jion maji mengi trust me uastaaajabu ya musa ula usinitaje......!!!!!!
 
Mkuu ushawahi kunywa maji ya bahari kwa bahati mbaya wakati unaogelea!?
Kutu moja tu atapanda juu mchangani kwa kusuasua, hiyo nguvu ya kutoa mzitoa anaitolea wapi!?
Mkuu, ninaishi mita 500-700 toka baharini kwa mwaka wa 24-25 sasa. Nimeanza kuogelea na kujua kuogelea nikiwa nina miaka kama 8-10 hivi.
Najua ninachokizungumza.
 
Mkuu, ninaishi mita 500-700 toka baharini kwa mwaka wa 24-25 sasa. Nimeanza kuogelea na kujua kuogelea nikiwa nina miaka kama 8-10 hivi.
Najua ninachokizungumza.
Basi Sawa, namimi mazingira niliyoishi ni kama yako, na huo mchezo nimecheza pia, lakini tulikuwa tukitoka nje ya maji tukimaliza tunarudi tena ndani ya maji.kutu mbili za maji ya chumvi ni kheri unywe povu la sabuni glass moja.
 
Back
Top Bottom