Maneno ya Uzushi wanaozushiwa 'Beach boys' hayana ukweli wowote

Huwa wanakuwa wameshikilia matairi ya magari ambayo huwafanya waeelee kwenye maji huku wakifanya yao.

Chumvi ya baharini siyo kali kiasi cha kuifanya papuchi isinyae kwa kiwango cha kutisha kama mleta mada anavyoeleza.

Kwahiyo kuchakatana kwenye maji mkiwa kwenye tairi ya gari inawezekana. Ingawa mara nyingi mademu wanakuwa wameridhia kugawa k.
 
Mwanamke ambae ameenda kufundishwa kuogelea hawezi kuwa na utulivu wakutosha kufanya mapenzi ndani ya maji, kwa msaada wa tairi la gari. Hao unaowazungumzia wewe ni ma'beach girls, wale wameshazoea kucheza kwenye maji, na wanajuana na ma'beach boys, kwahiyo wanaweza kutoa ushirikiano kufanikisha hilo, lakini kwa wale waliokwenda kwa ajili ya kuchezea maji (kujiburudisha)kungonoka ndani ya maji ni zoezi gumu mno kwao.
 
Wageni huwa wanapelekwa kwenye kingo za bahari ama swimming pool wanajishikiza
 
Wageni huwa wanapelekwa kwenye kingo za bahati ama swimming pool wanajishikiza
Enhee! hapo sawa,sasa hapo hatuwezi kuwalaumu beach boys kwasababu tayari kunakuwa na makubaliano.na hilo linaweza kufanywa hata na wale wanaokwenda na wapenzi wao, si lazima awe beachboy na wala hawaitaji tairi.
 
Mkuu anataka ushuhuda wa waliomegwa na beach boys🙌🤣🤣
Kwakulazimishwa lakini,sio wale wanaojipeleka wenyewe na kutafuta sehemu za kushikilia wakachukuliwa na Video, hao ni ma'beach girls na hao beach boys ndio mabwana zao kila siku wanawafuata huko.
 
Wewe utakuwa ndio wale beach boys wenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…