Maneno ya 'Visit Tanzania' kwenye Jezi ya Simba yaleta utata

Maneno ya 'Visit Tanzania' kwenye Jezi ya Simba yaleta utata

Mimi ni shabiki wa simba. Lakini katika jezi ya kuitangaza Tanzania iliyoandikwa VISIT TANZANIA wamechemka.

Font waliyotumia na Style ya maneno haisomeki kwa mtu anapoiona.
Nawashauri kwa sababu hawajachapisha nyingi waweke maneno vizuri yaonekane.

329443608_650466420218425_298133312731916355_n.jpg
 
Mimi kama shabiki (nisiefaidika na chochote zaidi ya furaha ya matokeo) ninachohitaji ni vitu viwili tu.
1 Matokeo ya ushindi
2 Burudani ya pira safi.

Hayo mengine kwangu mimi shabiki hayana tija wala hayaniumizi akili
 
Back
Top Bottom