Maneno ya 'Visit Tanzania' kwenye Jezi ya Simba yaleta utata

Maneno ya 'Visit Tanzania' kwenye Jezi ya Simba yaleta utata

Kwanza wameiga visit Rwanda kwenye jezi za arsenal
 
Naunga mkono hoja. Herufi T imetumika kama Herufi inayotumiwa na maneno ya juu na chini.

Nahisi designer amefanya hizo mbwembwe kutafuta muonekano mzuri Bahati mbaya amezalisha maana nyingine.

e1e44f751a97889afc467212e99fe2b7.jpg
 
Uko na jezi ya 2021 mpaka leo? We sema tu huna hela.
Duh!.

enzi za JVC na Sharp ulikua ushafika mjini au bado ulikua unachunga ng'ombe kwenu Bariadi?

Iyo hapo nimemenya juzi tu maanadalizi ya ubingwa epl,unajua bei yake iyo?
👇
FdBBQ64XoAMk6zi.jpg
 
Yaani ulivyotumia hilo neno Makolo fc ndiyo umeharibu Uzi wako..yaani inaonekana suala lako si la kitaalamu bali ushabiki wa Simba na Yanga..
Ushabiki wa mpira Bongo ni very special,
Mashabiki hasa Simba na Yanga wanabishania mpaka Jezi za team zao au Mabasi wanayopanda team zao!

Na wachambuzi wa soka nao wanapita humo humo! Wanachambua Jezi za team mpaka Mabasi ya team.

😀😀😀😀
 
Kwanza wameiga visit Rwanda kwenye jezi za arsenal
Sa hapo wameiga nini??wale visit rwanda hawa visit tz haya kuna kuiga hapo???uwage na akili na wewe mda mwingine
 
Back
Top Bottom