SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Aibu yako hii una macho lakini huoni umekalia chuki na wivu tu.Niliposomea Graphics Design lile Neno linasomeka hivi,
"TVisit Tanzania"
Na
Sio
Visit Tanzania [emoji1
241]
[emoji846]
Wataalam wenzangu wa IT Njooni tuwaelimishe hawa Graphics Designers wa Makolo Fc
View attachment 2510213
Yanga wapumbavu sanaYaani ulivyotumia hilo neno Makolo fc ndiyo umeharibu Uzi wako..yaani inaonekana suala lako si la kitaalamu bali ushabiki wa Simba na Yanga..
Kwanini husemi yanasomeka Tvisit, anzania?Niliposomea Graphics Design lile Neno linasomeka hivi,
"TVisit Tanzania"
Na
Sio
Visit Tanzania [emoji1
241]
[emoji846]
Wataalam wenzangu wa IT Njooni tuwaelimishe hawa Graphics Designers wa Makolo Fc
View attachment 2510213
Uko na jezi ya 2021 mpaka leo? We sema tu huna hela.jezi za jamani ni nzuri kuliko za sasa"
naam 👆nakubaliana na wewe mkuu.naishi na jezi yangu ya msimu ule wa 2021 hizi za 2022 hapana kwakweli sikuzielewa.
Ukiisoma ivyo ulivyo andika ni wazi utakuwa una kadoro katk elimuúuuhNiliposomea Graphics Design lile Neno linasomeka hivi,
"TVisit Tanzania"
Na
Sio
Visit Tanzania [emoji1
241]
[emoji846]
Wataalam wenzangu wa IT Njooni tuwaelimishe hawa Graphics Designers wa Makolo Fc
View attachment 2510213
Duh!.Uko na jezi ya 2021 mpaka leo? We sema tu huna hela.
Ushabiki wa mpira Bongo ni very special,Yaani ulivyotumia hilo neno Makolo fc ndiyo umeharibu Uzi wako..yaani inaonekana suala lako si la kitaalamu bali ushabiki wa Simba na Yanga..
Nimecheka sanaa mkuuWasomi sio Wamomi
Sa hapo wameiga nini??wale visit rwanda hawa visit tz haya kuna kuiga hapo???uwage na akili na wewe mda mwingineKwanza wameiga visit Rwanda kwenye jezi za arsenal