Maneno yanayoandikwa kwenye magari makubwa

Maneno yanayoandikwa kwenye magari makubwa

Usia Wa Marehemu...'Nikifa Mke Wangu Asiolewe'.
'Kusoma Kufaulu Kukesha Mbwembwe'
Kazi Mbaya Unayo...!
Acha Kazi Upate Kazi Kupata Kazi...!
Maisha Kutafuta Sio Kutafutana.....
Ukinuna Uwe Na Sababu.....
Bosi Anuniwi.....
Njaa Haina Baunsa.....n.k
 
Back
Top Bottom