Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Katikati ya miungu hakuna kama wewe Jehovah
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
usiumize kichwa kwa hesabu za mwenzakoHabari wanajamvi,pasi na shaka mpaka unapata muda wa kuperuzi Jf basi upo vyema kama kuna mwenye tatizo basi. tuendelee kumuomba mwenyezi MUNGU atatutia nguvu.
Hebu tutoe majonzi kidogo,hususani huu msiba mzito wa taifa, haya mambo hayana budi kupita.
Kwenye mada:leo nimejikuta nacheka tu hasa nilipokumbuka yale maneno yanayoandikwa kwenye magari makubwa semi trailers,fuso, canter e.t.c.
Kuna Scania moja niliona imeandikwa hivi, (ukiona choo ndotoni usikitumie)
Kila nikifikiria jamaa aliwaza nini sipati jibu
Kuna nyingine imeandikwa hivi
KUOLEWA NI AJIRA
Yaani nabaki kucheka tu,
Hebu share na wewe kituko ulichowahi kukisoma
Uzi tayari
Sent using Jamii Forums mobile app
elimu ninayo tatizo chetiBora ningesoma
Habari wanajamvi,pasi na shaka mpaka unapata muda wa kuperuzi Jf basi upo vyema kama kuna mwenye tatizo basi. tuendelee kumuomba mwenyezi MUNGU atatutia nguvu.
Hebu tutoe majonzi kidogo,hususani huu msiba mzito wa taifa, haya mambo hayana budi kupita.
Kwenye mada:leo nimejikuta nacheka tu hasa nilipokumbuka yale maneno yanayoandikwa kwenye magari makubwa semi trailers,fuso, canter e.t.c.
Kuna Scania moja niliona imeandikwa hivi, (ukiona choo ndotoni usikitumie)
Kila nikifikiria jamaa aliwaza nini sipati jibu
Kuna nyingine imeandikwa hivi
KUOLEWA NI AJIRA
Yaani nabaki kucheka tu,
Hebu share na wewe kituko ulichowahi kukisoma
Uzi tayari
Sent using Jamii Forums mobile app
Mia tisa itapendeza,,,nimeona kwny fuso flan hiv halin side mirror derev hutoa tu kichw nje kw upnde wake ili aangalie nyumaelimu ninayo tatizo cheti
Hahaaa hii niliona Nadhani daladala za tabata,maneno ya kukeraKama ndoto yako haijatimia endelea kulala.