Maneno yanayoandikwa kwenye magari makubwa

Habari wanajamvi,pasi na shaka mpaka unapata muda wa kuperuzi Jf basi upo vyema kama kuna mwenye tatizo basi. tuendelee kumuomba mwenyezi MUNGU atatutia nguvu.

Hebu tutoe majonzi kidogo,hususani huu msiba mzito wa taifa, haya mambo hayana budi kupita.

Kwenye mada:leo nimejikuta nacheka tu hasa nilipokumbuka yale maneno yanayoandikwa kwenye magari makubwa semi trailers,fuso, canter e.t.c.

Kuna Scania moja niliona imeandikwa hivi, (ukiona choo ndotoni usikitumie)

Kila nikifikiria jamaa aliwaza nini sipati jibu

Kuna nyingine imeandikwa hivi
KUOLEWA NI AJIRA
Yaani nabaki kucheka tu,

Hebu share na wewe kituko ulichowahi kukisoma

Uzi tayari

Sent using Jamii Forums mobile app
usiumize kichwa kwa hesabu za mwenzako
 
IMG_20210328_081551_769.jpg
 
"Kaka tuchati"

"Boss hapendi"

"Panda juu ukazibe"

"Wapambe kama yao"

"Ndio mlio wake"

"Hata bibi alikuwa binti"

"Ikiuma chomoa"

"Jino moja mswaki wa nini"

"Kesi ya mbuzi hakimu fisi"

"Ntakupigia"
 
Back
Top Bottom