Maneno yanayokosewa sana katika matumizi

Tujikomboe Finance

JF-Expert Member
Joined
May 8, 2013
Posts
212
Reaction score
81
Makosa haya yapo kwa watu wa kada tofauti. Ongezea na wewe mengine
  • Bronchure--------------------akimaanisha Brochure
  • Inssue.................................akimaanisha Issue
  • Deep...................................akimaanisha Beep
  • Crips...................................akimaanisha Crispy....vile viazi au mihogo
  • NCCF .................................akimaanisha NSSF
  • Kudefence............................Simba wanadefence sana badala ''defend''
  • Sight Mirror...........................Side Mirror vyoo vya pembeni vya kuangalizia kwenye gari
  • Missing Call............................Badala ya Missed Call
  • Drive License-------------------badala ya Driving License
  • Aghalabu........................akimaanisha mara chache.....wakati aghalabu ni mara nyingi
  • Mazingara ya Tukio...............badala ya Mazingira ya tukio
  • Shindano la Miss Tanzania............badala ya mashindano ya Miss Tanzania
 
  • Flammable.........................Kuna magari yanayobeba mafuta yameandikwa kabisa hatari lakini ''Inflammable''

-fanya fasta...........................................fanya haraka (fasta(faster) ni comparative ya fast na haifai kabisa kutumika hapa
- tafadhali kuwa care................................tafadhali kuwa mwangalifu(careful).Uelewa mdogo wa lugha ya kiingereza unazaa matumizi mabovu! (makondakta wa daladala ndio wazungumzaji wakubwa wa lugha hizi)

Simu yangu haina chaja.........................................simu yangu haina chaji.(Baadhi ya watu wanachanganya neno charge na charger hawajui lipi ni lipi kwa hiyo wanayatumia vibaya. Na ole wako umsahihishe, atakavyong'aka!)
 
Kioksi,,,,badala ya kiosk
sometime nyingine,,, badala ya sometimes
Briscase,,,badala ya briefcase
 
Alaa kumbe! Mimi hizi sijazisikia. Ila kuna moja niliinyaka jana dereva anamwambia abiria : Nenda kaweke mzigo wako booking (Kumbe eti chumba cha kuhifadhi mizigo ya abiria wanakiita booking!)
 
Na hili neno pia limetoka kwenye matokeo ya darasa la Saba 2013. Avarage akimaanisha Average. Pitia mwenyewe uone. Huyu aliyekuwa anafanya "coding" alipitiwa au?
 
Hiyo ya ku-DEFENCE badala ya ku-DEFEND hata mimi nimekuwa nikiisikia watu wakiikosea sana.

Pia kuna maneno haya ambayo hukosewa sana:

~driver taxi badala ya taxi driver.

~plate number (namba zinazoandikwa kwenye pleti (namba za gari) badala ya number plate (pleti ambako namba za gari huandikwa gari).
Mtu akitamka plate NUMBER huwa anaongelea namba. Neno plate ni adjective; na mtu akiongelea number PLATE huwa anaongelea pleti na neno number huwa ni adjective. Mpo hapo?
 
hata JENZI badala ya JEZI

AITIEM badala ya EITIEM
 
1.Frampeni badala ya Frying pan

2.Classment badala ya classmate

3. Wengi sana tunashindwa kutofautisha neno--- LEAVE (go away from) na LIVE(continue to be alive). Tunayatumia yote kumaanisha "live"
 
Hiyo ya ku-DEFENCE badala ya ku-DEFEND hata mimi nimekuwa nikiisikia watu wakiikosea sana.

Pia kuna maneno haya ambayo hukosewa sana:

~driver taxi badala ya taxi driver.

~plate number (namba zinazoandikwa kwenye pleti (namba za gari) badala ya number plate (pleti ambako namba za gari huandikwa gari).
Mtu akitamka plate NUMBER huwa anaongelea namba. Neno plate ni adjective; na mtu akiongelea number PLATE huwa anaongelea pleti na neno number huwa ni adjective. Mpo hapo?

Mkuu, hii ya ''plate number'' ni wengi sana tunakosea mpaka kwa hata wanaozitoa
 
Ball position--->badala ya ball possession (umiliki wa mpira). Ukiwa unacheki mpira kwenye vibanda-umiza utasikia mtu anasema kwa nguvu na kujiamini "angalia boli pozisheni mmezidiwa"...huwa masikio yanawasha nikisikia hivyo afu nashindwa kuwakosoa utauumbuliwa bure.

Dawa ya mswaki--->badala ya dawa ya meno/kinywa

Self kontena--->badala ya self contained room

Usinistabansi--->badala ya usini_disturb

Good morning/afternoon/night--->wengi huwa wanajua ni salaam kama vile "shikamoo" na hutarajia mwitikio (response) kumbe ni ujumbe tu wa kukutakia heri na si lazima ujibiwe vivo hivyo.

Shell--->badala ya fuel (Petrol/diesel/gas/kerosene) station. Shell ni kampuni lenye muunganiko wa makampuni mengi ya mafuta.

Shokomzoba/shokapu--->badala ya shock absorber
 
Makosa haya yapo kwa watu wa kada tofauti. Ongezea na wewe mengine
  • Bronchure--------------------akimaanisha Brochure
  • Inssue.................................akimaanisha Issue
  • Deep...................................akimaanisha Beep
  • Crips...................................akimaanisha Crispy....vile viazi au mihogo
  • NCCF .................................akimaanisha NSSF
  • Kudefence............................Simba wanadefence sana badala ''defend''
  • Sight Mirror...........................Side Mirror vyoo vya pembeni vya kuangalizia kwenye gari
  • Missing Call............................Badala ya Missed Call
  • Flammable.........................Kuna magari yanayobeba mafuta yameandikwa kabisa hatari lakini ''Inflammable''
  • Drive License-------------------badala ya Driving License
  • Aghalabu........................akimaanisha mara chache.....wakati aghalabu ni mara nyingi
  • Mazingara ya Tukio...............badala ya Mazingira ya tukio
  • Shindano la Miss Tanzania............badala ya mashindano ya Miss Tanzania

Hapo umechemsha! ni crisps
 
Umechemsha! hiyo si mara nyingi wala si mara chache. Hiyo ni "kwa uchache".
 
Huwa natamani kuziba masikio ninaposikia mtu anachanganya "r" na "l".tatizo hili liko sana kwa wasanii wa maigizo na muziki.pia maneno kama "tunapaswa" na "tunapashwa" wanasiasa huwa wanayachanganya sana sasa sijui hawafaham kama yana tofauti kubwa au vipi.
 
Back
Top Bottom