Tujikomboe Finance
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 212
- 81
Makosa haya yapo kwa watu wa kada tofauti. Ongezea na wewe mengine
- Bronchure--------------------akimaanisha Brochure
- Inssue.................................akimaanisha Issue
- Deep...................................akimaanisha Beep
- Crips...................................akimaanisha Crispy....vile viazi au mihogo
- NCCF .................................akimaanisha NSSF
- Kudefence............................Simba wanadefence sana badala ''defend''
- Sight Mirror...........................Side Mirror vyoo vya pembeni vya kuangalizia kwenye gari
- Missing Call............................Badala ya Missed Call
- Drive License-------------------badala ya Driving License
- Aghalabu........................akimaanisha mara chache.....wakati aghalabu ni mara nyingi
- Mazingara ya Tukio...............badala ya Mazingira ya tukio
- Shindano la Miss Tanzania............badala ya mashindano ya Miss Tanzania