kwisha
JF-Expert Member
- Sep 9, 2021
- 1,779
- 4,982
Mwaka jana niliwahi kusema Tanzania wanasubiri yanga wajue kucheza mechi za kimataifa ili wawelete kombe
na Yanga ni kama mnyama hatari ambaye amefungiwa ndani ya pango bado ana tafuta pakutokea.
Na siku akitoka basi tegemeeni mazembe ya 2008 - 2016 ndani ya yanga.
Hawa wengine watakuwa kama vita club tu kila mara kufika robo au final lakini ubingwa wanahusika kwa TP Mazembe.