Maneno yangu juu ya Yanga yanaenda kutimia

Maneno yangu juu ya Yanga yanaenda kutimia

kwisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
1,779
Reaction score
4,982
Mwaka jana niliwahi kusema Tanzania wanasubiri yanga wajue kucheza mechi za kimataifa ili wawelete kombe
na Yanga ni kama mnyama hatari ambaye amefungiwa ndani ya pango bado ana tafuta pakutokea.

Na siku akitoka basi tegemeeni mazembe ya 2008 - 2016 ndani ya yanga.

Hawa wengine watakuwa kama vita club tu kila mara kufika robo au final lakini ubingwa wanahusika kwa TP Mazembe.

Screenshot_20230501_131021_com.quoord.jamiiforums.activity.jpg
Screenshot_20230501_131145_com.quoord.jamiiforums.activity.jpg
 
Simba imecheza Fainali 1993.

Imecheza Nusu Fainali 1973.

Imani yangu ya kidini inanikataza kupiga LAMLI, KUTABIRI, kubashiri, kukisia nk.

MUNGU Ndiye anayepanga na si Mwanadamu.

JIFUNZE NA UANZE KUMUOGOPA SANA MUNGU KWENYE MAISHA YAKO.

HUWEZI KUPANGA CHOCHOTE ZAIDI YA MUNGU.
sifa za kijinga
 
Huu ni uongo [emoji16]
 
Mmekufa kiume
 
Mimi ni Yanga ila tusiibeze Simba inapoishiaga kimataifa wanajitahidi sana tena ukizingatia misimu mingi team inabadilika badilika kikubwa kwenye soka la sasa la ushindani kwanza menejimenti iwe vizuri mambo mengine yataenda vizuri automatic angalia mamelod
 
Timu kubwa zote zimecheza CAFCL SIO LOSER.
 
Simba imecheza Fainali 1993.

Imecheza Nusu Fainali 1973.

Imani yangu ya kidini inanikataza kupiga LAMLI, KUTABIRI, kubashiri, kukisia nk.

MUNGU Ndiye anayepanga na si Mwanadamu.

JIFUNZE NA UANZE KUMUOGOPA SANA MUNGU KWENYE MAISHA YAKO.

HUWEZI KUPANGA CHOCHOTE ZAIDI YA MUNGU.
sifa za kijinga
Mtoa mada anaonhelea kuhusu Yanga kuleta makombe ya Afrika kutokana na ukubwa wake! Wewe unaleta porojo! Jikite kwenye mada.
 
Huu ni uongo [emoji16]

Wakipekee.

KAKA NAOMBA TUHESHIMIANE SISI WENGINE TUNAJUANSHETANI NDIO BABA WA UONGO(Yohana 8:44), NA MAANDIKO YANASEMA USIMSHUHUDIE JIRANI YAKO UONGO(KUTOKA 20:16.

PAULO ANASISITIZA KUSEMA KWELI KATIKA KRISTO.
Rum9:1.

Naomba TUHESHIMIANE niongee uongo nimkosee Mungu kwa FAIDA ya UPUMBAVU WA SIMBA NA YANGA.

KAMA MMEZOEA UONGO NA WAZAZI WAKO NA UKOONWAKO USINILETEE MIMI.

ACHA USHAMBA TUHESHIMIANE.
HUNIJUI SIKUJUI.

DELACANTAR....
 
Simba imecheza Fainali 1993.

Imecheza Nusu Fainali 1973.

Imani yangu ya kidini inanikataza kupiga LAMLI, KUTABIRI, kubashiri, kukisia nk.

MUNGU Ndiye anayepanga na si Mwanadamu.

JIFUNZE NA UANZE KUMUOGOPA SANA MUNGU KWENYE MAISHA YAKO.

HUWEZI KUPANGA CHOCHOTE ZAIDI YA MUNGU.
sifa za kijinga
Kwa hiyo mkacheza na mkachukua ndoo 🤣🤣🤣 hongereni madunduka

Kweli makolo hamnazo
IMG_20230429_200940.jpg

IMG_20230429_110601.jpg
 
Back
Top Bottom