ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Wauguzi wa kike wamelalamikia kunyanyaswa kingono na wagonjwa wa kiume waliolazwa hospitali. wengine huwachungulia nguo zao za ndani wanapokuwa wameinama kuhudumia wagonjwa wengine, na pia huwataka kulala nao kufanya nao ngono.