Northman
JF-Expert Member
- Dec 22, 2016
- 1,587
- 2,516
Marahaba[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]shikamooni wagonjwa [emoji119][emoji119]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Marahaba[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]shikamooni wagonjwa [emoji119][emoji119]
hahaaa we acha tuHahahahahahaha
Kwa kipaji cha mungu alichokionyesha juu yetu tumeshindikan aiseee.
hahaa hao watakuwa wana tokea mars huko[emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mkuu kuna watu wako sensitive hawajali ugonjwa
Jazia nyama tukuelewe mkuu!Wauguzi wa kike wamelalamikia kunyanyaswa kingono na wagonjwa wa kiume waliolazwa hospitali. wengine huwachungulia nguo zao za ndani wanapokuwa wameinama kuhudumia wagonjwa wengine, na pia huwataka kulala nao kufanya nao ngono.
View attachment 899757
Tulia maza, usimwambie mtu nimetafuna watatu najifanya nawashwa kwenye mkuyenge namwambie njoo ona lazima tuingie chumba cha SiriSiku hizi wamezidi kuvaa vimini
Marahaba.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]shikamooni wagonjwa [emoji119][emoji119]
Teh ukafurahia mtoto aone wezere?Nimekumbuka siku niliyopangiwa nesi mzuri anichome sindano akanikuta nmevua nguo zote kwny chumba cha sindano
Hivi mwanamke nesi anishike mashine alafu nimelala tu! Haiwezekani.Wanaume wengine wakiwashika kuwawekea "katheta" wanasimamisha nanilino😡😡😡😡😡
Marahaba.
We fisi em huku hapakuhusu nenda Jukwaa lako la siasa kuleeMarahaba.
Achana nae huyo Chakubanga wa siasa[emoji23][emoji23][emoji23]aisee mkuu jina lako mgonjwa au ndio wew unaesemwa kweny uzi huu
Sasa chupi sio nguo?vile vinguo vyao vifupi vinashawishi ukizingatia hawavai nguo nyingine ndani zaidi ya tight/chupi.
Nimesema hawavai nguo nyingine zaidi ya chupi au tight, sijasema kama chupi sio nguo.Sasa chupi sio nguo?
Nimesema hawavai nguo nyingine zaidi ya chupi au tight, sijasema kama chupi sio nguo.
Kwani madaktari wanavaa koti tupu bila nguo ndani?.Sasa ndani ulitak wavae nguo gani zaidi ya hizo?