Manesi walalamika kuchunguliwa nguo za ndani na wagonjwa wa kiume

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Wauguzi wa kike wamelalamikia kunyanyaswa kingono na wagonjwa wa kiume waliolazwa hospitali. wengine huwachungulia nguo zao za ndani wanapokuwa wameinama kuhudumia wagonjwa wengine, na pia huwataka kulala nao kufanya nao ngono.

 
Aha hzo changamoto wanazitaka wenyew kwa kuvaa vinguo vifupii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…