Manesi walalamika kuchunguliwa nguo za ndani na wagonjwa wa kiume

Siku hizi wamezidi kuvaa vimini
Tulia maza, usimwambie mtu nimetafuna watatu najifanya nawashwa kwenye mkuyenge namwambie njoo ona lazima tuingie chumba cha Siri
Akiona tuu namwambia ebu nyanyua uangalie huku chin akigusa tuu unaanza kudinda nachomeka vocal zangu
Lazima alete ubish,
Nambembeleza naomba namba
Nampa ya lunch
Siku tano haziishi nishakula vyangu
Kumbe hata siumwi
NB, kama amenivutia lkn
 
alaf wagonjwa tufe hospitalini
 
Sasa ndani ulitak wavae nguo gani zaidi ya hizo?
Kwani madaktari wanavaa koti tupu bila nguo ndani?.
inawezekana ndio sheria ya mavazi yao lakini kwa jinsi yalivyo ni rahisi kuona ndani kama akikaa vibaya au akiniima na ndani kwenyewe ndo kuna chupi/tight hapo lazma mgonjwa wa kiume umshawishi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…