Manesi walalamika kuchunguliwa nguo za ndani na wagonjwa wa kiume

Wanaume wengine
wakiwashika kuwawekea "katheta" wanasimamisha nanilino😑😑😑😑😑
Huko kunaitwa kuugua kiume.Huwezi kumshika rijali dushebi ili umuwekee katheta halafu akaonesha ana 'usingizi'!
 
Ni moja ya matatizo ya wagonjwa hao.
Wapatiwe tiba kama tiba zingine.
 
Daah huu mchezo niumefanya sana... tena manesi wenyewe ndo huwaga wanataka kupigwa dufkurunumbu....
 

Kuna uwezekano mkubwa kwamba hao Wagonjwa ambao huwa wanawachungulia hivyo wanakuwa wanawapa Ujumbe ' tukuka ' kabisa kwamba wameshapona na wanahitaji Kuondoka hapa Hospitalini. Hivi Mgonjwa ' serious ' kabisa na aliyezidiwa au aliyepewa ' dozi ' na zikamuingia kisawasawa ana huo muda wa kujua ' this is Mbunye ' au ' this is Chupi ' tena akiwa Wodini Kitandani Kalazwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…