Manfongo mbona kimya

Manfongo mbona kimya

Tatizo sio Manfongo, Bali aina ya mziki anaoimba... Singeli ulikua mziki wa msimu tu... Hawana ubunifu.. Nyimbi zote zinafanana... Maneno wanarudia yaleyale,. Waimba singeli wote mpaka mashabiki wao ni kada ya watu ambao hawajaenda shule....
 
Darassa kamaliza mambo yooote. Sio yeye peke yake bali kila msanii anatafakari jinsi ya kutoka.
Hata huyu darassa atafuata nyayo za Man Fongo. Vijana wanauvagaa ustaa kwa pupa na kulewa sifa mapema mno kabla ya mafanikio halisi hawajayapata.
 
we tekenya tekenya tekenya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

msubirini anakuja
 
Juma Nature aliposema singeli ni ishu ya kupita walimtukana sana badala ya kumuuliza mkongwe kwann kasema vile!,nlishangaa nlipoona yule bwana mdogo wa iliyokuwa East Coast team aitwaye King Crazy GK alipoudandia mziki wa kipuuz kama ule!
singeli mbona IPO ndugu...
tatizo mnadhani anaeimba singeli ni manfongo tu....

Kama Una getho mwanangu onyesha funguo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mbona wapoo
 
Hata huyu darassa atafuata nyayo za Man Fongo. Vijana wanauvagaa ustaa kwa pupa na kulewa sifa mapema mno kabla ya mafanikio halisi hawajayapata.
Ni kweli kabisa nakumbuka yaliyomkuta 20%
 
sasa mziki wenyewe hauna jipya, yeye atalitoa wapi jipya, labda afanye marudio
 
singeli mbona IPO ndugu...
tatizo mnadhani anaeimba singeli ni manfongo tu....

Kama Una getho mwanangu onyesha funguo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mbona wapoo
Mwaga maji tucheze kama kambale, wiso wiso garagara nasema garagara , miguu yote juu.....!!!
 
Hata huyu darassa atafuata nyayo za Man Fongo. Vijana wanauvagaa ustaa kwa pupa na kulewa sifa mapema mno kabla ya mafanikio halisi hawajayapata.
mkuu darasa yupo kwenye game kitambo sana ni star japo hii ngoma ndio imemuongezea u-star huoni ameanza kuzeeka, kitambo sana namjua anaimba toka akiwa kijana mdogo na alikua star japo sio kivile
 
Mziki wa,Singeli ni kama moto wa mabua...Tayari enzi yake ya mwaka mmoja imekwisha..

Hamna tofauti na mziki wa Segere..
 
singeli mbona IPO ndugu...
tatizo mnadhani anaeimba singeli ni manfongo tu....

Kama Una getho mwanangu onyesha funguo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mbona wapoo
Ukiona manfongo ndiye anafahamika kama muimba singeli kwa wengi ina maana akifail na singeli imefail haitofika mbali itabaki huko huko ilipokuwa inajaribu kufurukuta kutoka
 
Back
Top Bottom