Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata huyu darassa atafuata nyayo za Man Fongo. Vijana wanauvagaa ustaa kwa pupa na kulewa sifa mapema mno kabla ya mafanikio halisi hawajayapata.Darassa kamaliza mambo yooote. Sio yeye peke yake bali kila msanii anatafakari jinsi ya kutoka.
Hii inaitwa celebrity forum ....acha ushambaFuatilien maisha yenu nyny
singeli mbona IPO ndugu...Juma Nature aliposema singeli ni ishu ya kupita walimtukana sana badala ya kumuuliza mkongwe kwann kasema vile!,nlishangaa nlipoona yule bwana mdogo wa iliyokuwa East Coast team aitwaye King Crazy GK alipoudandia mziki wa kipuuz kama ule!
Ni kweli kabisa nakumbuka yaliyomkuta 20%Hata huyu darassa atafuata nyayo za Man Fongo. Vijana wanauvagaa ustaa kwa pupa na kulewa sifa mapema mno kabla ya mafanikio halisi hawajayapata.
DUHKama akutengeneza hela na hainaga ushemeji ndio ishatoka hiyo ikirudi pancha.
Na vile anavuta bange tujiandae kupata picha zake akiwa kabaki kichwa akiilaumu Cloud's ndio wamemfanya avute unga.
HAHAAHA HII KALIWatanzania mnapenda maendeleo ila mnawachukia watu wenye maendeleo.
Mwaga maji tucheze kama kambale, wiso wiso garagara nasema garagara , miguu yote juu.....!!!singeli mbona IPO ndugu...
tatizo mnadhani anaeimba singeli ni manfongo tu....
Kama Una getho mwanangu onyesha funguo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mbona wapoo
mkuu darasa yupo kwenye game kitambo sana ni star japo hii ngoma ndio imemuongezea u-star huoni ameanza kuzeeka, kitambo sana namjua anaimba toka akiwa kijana mdogo na alikua star japo sio kivileHata huyu darassa atafuata nyayo za Man Fongo. Vijana wanauvagaa ustaa kwa pupa na kulewa sifa mapema mno kabla ya mafanikio halisi hawajayapata.
Kama wewe unavomchukia braza ChibuWatanzania mnapenda maendeleo ila mnawachukia watu wenye maendeleo.
Kama wewe unavomchukia braza Chibu
Ukiona manfongo ndiye anafahamika kama muimba singeli kwa wengi ina maana akifail na singeli imefail haitofika mbali itabaki huko huko ilipokuwa inajaribu kufurukuta kutokasingeli mbona IPO ndugu...
tatizo mnadhani anaeimba singeli ni manfongo tu....
Kama Una getho mwanangu onyesha funguo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mbona wapoo