Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Usikute kwa wachuchu ndo alikuwa anapata hela nyingi... Nyie wengine mkikabwa mnakutwa na ndumu tu... sasa ndumu ndo atakula ashibe?Huyo naye alikuwa anamkaba nani? Labda wachuchu ndo alikuwa anawaonea!
Kuna collabo na chege inakuja inaitwa shida tupuApambane tuu, ila majigambo kwa nyimbo moja atakufa kibudu, nimemsikia akijigamba bongofleva wajitathmini upya atachukua mashabiki wao.... najiuliza nani atamfata apige nae kolabo!?
Kwa hiyo na ww ungemkaba?? teh teh tehAngenikaba mimi kipindi hicho afu ningemjua ni yeye, na mimi ningemrudishia sasa hivi.
dadek singeli imepanda ndege....View attachment 387335
Ndege tamu.
Huyu ni kweli alikuwa mkabaji sanaa tuuila inaonekana ni kweli maana hayo macho na mdomo inaonesha mtumiaji mzuri sana wa ngada
Jasiri haachi asili[emoji12] [emoji12] [emoji12]Mkali wa 'Singeli' Manfongo amesema muziki anaofanya umemkomboa kwani alikuwa 'mkabaji' siku za nyuma.
Naona kaamua kuchagua fungu jema kabla ya zile siku 40 za kuvishwa tairi na kupigwa na matofali hazijamfikia.
SOURCE;EATV Twitter
sasa ruby anachoringia nini wanawake wakiwezeshwa wanaleta dharau sijui nani anategemea atamuonga bora mwenzak rechoJuzi kasaini mkataba wa milioni 20 fiesta
nachojiuliza sijui atatoa nyimbo gani iwe zaidi ya hainaga ushemeje imefika max point kuhit nyimb inayokuja ainvest pesa tu hakuna kingineApambane tuu, ila majigambo kwa nyimbo moja atakufa kibudu, nimemsikia akijigamba bongofleva wajitathmini upya atachukua mashabiki wao.... najiuliza nani atamfata apige nae kolabo!?
Hahaaa aulize kilichomtokea rubyClouds wakupe hela zote hizo?!.....wanaumwa!
Chenge ndo kamwomba mzee wa singeli ama vise versa!?Kuna collabo na chege inakuja inaitwa shida tupu
hapo ndio sijajua ila collabo yao inakuja soonChenge ndo kamwomba mzee wa singeli ama vise versa!?
Watumishi wa umma wanatibiwa bure wao na familia zao mpaka kufa, mshahara mpaka kustaafu na pensheni mpaka kufa na mambo kibao!Sasahivi Manifongo ana pesa chafu ana wazidi hadi watumishi wa umma wanaosubiri mpk mwisho wa mwezi..
Umekurupuka.tupe source!Juzi kasaini mkataba wa milioni 20 fiesta
Tatizo umekaa sana AMERIKA mkuu..!Huyo naye alikuwa anamkaba nani? Labda wachuchu ndo alikuwa anawaonea!