Manfongo: Singeli imeniokoa, nilikuwa mkabaji

Manfongo: Singeli imeniokoa, nilikuwa mkabaji

Apambane tuu, ila majigambo kwa nyimbo moja atakufa kibudu, nimemsikia akijigamba bongofleva wajitathmini upya atachukua mashabiki wao.... najiuliza nani atamfata apige nae kolabo!?
Kuna collabo na chege inakuja inaitwa shida tupu
 
Mkali wa 'Singeli' Manfongo amesema muziki anaofanya umemkomboa kwani alikuwa 'mkabaji' siku za nyuma.

CqsS4o5WIAAb4lG.jpg

Naona kaamua kuchagua fungu jema kabla ya zile siku 40 za kuvishwa tairi na kupigwa na matofali hazijamfikia.

SOURCE;EATV Twitter
Jasiri haachi asili[emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Apambane tuu, ila majigambo kwa nyimbo moja atakufa kibudu, nimemsikia akijigamba bongofleva wajitathmini upya atachukua mashabiki wao.... najiuliza nani atamfata apige nae kolabo!?
nachojiuliza sijui atatoa nyimbo gani iwe zaidi ya hainaga ushemeje imefika max point kuhit nyimb inayokuja ainvest pesa tu hakuna kingine
 
sema anachoboa huyu jamaa anatoa nyimbo mpya lakin anarudia mistari ya nyimbo zake zilizopita
 
Bora angesema tu kwamba alikua mwizi.
Cheki domo na mimacho ilivyo muiva kwa bange, aihitaji kuambiwa dogo ni teja.
Alafu aijui kama anaimbaga au anapiga makele tu
 
Mbona watumishi wa umma wengi tupo nao mtaani wanalia njaa wanakuja kukopa kwenye maduka yetu.
 
Back
Top Bottom