Na mmea nao kaacha?Mkali wa 'Singeli' Manfongo amesema muziki anaofanya umemkomboa kwani alikuwa 'mkabaji' siku za nyuma.
Naona kaamua kuchagua fungu jema kabla ya zile siku 40 za kuvishwa tairi na kupigwa na matofali hazijamfikia.
SOURCE;EATV Twitter
nilikua nakuwaza nkawa nasema binamu yuko wapi?!!au kahamia DOMAnaonekana anavuta ganja,halaf mi nampenda msaga sumu yupo wapi mbona kimyaa "haya lowassa huyo ,kipenzi cha watu huyo napenda nyimbo zake
Mkuu hawa wanakua kama nane hivi,peke yake hathubutuHuyo naye alikuwa anamkaba nani? Labda wachuchu ndo alikuwa anawaonea!
Ila ! _______ hajaacha kutumia kijiti
Hiyo sura si unaiona leo? Akina panya road wastaafu haoHuyo naye alikuwa anamkaba nani? Labda wachuchu ndo alikuwa anawaonea!
Sholo mwamba aliulizwa kuhusu mmea akasema hatumii.Na mmea nao kaacha?
sholo mwamba kakaa kihuni sana kuliko manifongo, sholo anavyoongea tu ni uthibitisho toshaSholo mwamba aliulizwa kuhusu mmea akasema hatumii.
Manfongo ukimuangalia tu jibu unapata
Huyo hawezi kunikaba mtu kama mimi, labda kama kachoka kuishi.Hiyo sura si unaiona leo? Akina panya road wastaafu hao
Kwanza ule mtindo wake wa nywele tu. Pale mmea unahusika nje nje kabisasholo mwamba kakaa kihuni sana kuliko manifongo, sholo anavyoongea tu ni uthibitisho tosha
KWELI HAWA WASANI WANAPATA SANA HELA KULIKO WATUMISHI WA UMMASasahivi Manifongo ana pesa chafu ana wazidi hadi watumishi wa umma wanaosubiri mpk mwisho wa mwezi..
Heheheh hajipendii [emoji23]Huyo hawezi kunikaba mtu kama mimi, labda kama kachoka kuishi.
Na wao huangalia watu wa kuwakaba.
Kunikaba mimi ni sawa na kusaini hati yako ya kifo tu.
Upooo! ?Heheheh hajipendii [emoji23]
Nipo babaUpooo! ?
[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji2]Nipo baba
Mwaah too[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji2]