Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Na mmea nao kaacha?Mkali wa 'Singeli' Manfongo amesema muziki anaofanya umemkomboa kwani alikuwa 'mkabaji' siku za nyuma.
![]()
Naona kaamua kuchagua fungu jema kabla ya zile siku 40 za kuvishwa tairi na kupigwa na matofali hazijamfikia.
SOURCE;EATV Twitter