TUJITEGEMEE
Platinum Member
- Nov 6, 2010
- 27,646
- 28,747
Pole kwa maswahibu.Nilikimbia haraka ghorofani na kuwarekodi kutoka kwenye roshani yangu
Very fishy. Wanamtafuta Louis kwa kugonga milango ya watu randomly. We did that in the 20th century. Kwanini wasimpigie simu mwenyeji wao?About 10 minutes ago, two people, a man and a woman, showed up at my house. They knocked for several minutes. At first, I didn’t answer, hoping they would eventually leave. Instead, they kept knocking louder and louder.
Because I know my life is in danger and I’m home alone right now, I decided not to even go near the door or look through the peephole. My husband has always told me not to do that. He said if someone came to kill me, they could shoot me through the door if they knew I was standing there.
So I stayed well away from the door and asked what they wanted. They said they were looking for someone named Louis. I told them no one by that name lives here. They then asked me to open the door because they couldn’t hear me properly. I refused and told them they could speak from where they were.
The moment I said that, they started walking away. I immediately ran upstairs and recorded them from my balcony.
The woman did all the talking. The man didn’t say a word.
As I have informed you all before, the Tanzanian government has commissioned Mexican cartels to kill me. Today, while I was home alone, two Mexicans showed up at my front door.
Everything is being forwarded to the FBI.
If anything happens to me, this is where the investigation should begin.
I think the time has come for me to put away my fear of guns and buy one. Hopefully this week I find the courage to own one.
KISWAHILI
Takribani dakika 10 zilizopita, watu wawili, mwanamume na mwanamke, walifika nyumbani kwangu. Waligonga mlango kwa dakika kadhaa. Mwanzoni sikuitika, nikitumaini kwamba wangeondoka. Badala yake, waliendelea kugonga kwa nguvu zaidi na zaidi.
Kwa sababu ninajua maisha yangu yako hatarini na kwa sasa niko peke yangu nyumbani, niliamua kutosogea hata karibu na mlango wala kutazama kupitia tundu la mlango. Mume wangu amekuwa akiniambia kila mara nisifanye hivyo. Aliniambia kwamba kama kuna mtu amekuja kuniua, anaweza kunipiga risasi kupitia mlangoni akijua nimesimama nyuma ya mlango.
Kwa hiyo nilibaki mbali na mlango na kuwauliza wanataka nini. Walisema wanamtafuta mtu anayeitwa Louis. Nikawaambia hakuna mtu wa jina hilo anayeishi hapa. Kisha wakaniomba nifungue mlango wakidai hawawezi kunisikia vizuri. Nilikataa na nikawaambia wazungumze wakiwa waliposimama.
Mara tu niliposema hivyo, walianza kuondoka. Nilikimbia haraka ghorofani na kuwarekodi kutoka kwenye roshani yangu.
Mwanamke ndiye aliyekuwa akizungumza muda wote. Mwanamume hakusema hata neno moja.
Kama nilivyowaeleza hapo awali, serikali ya Tanzania imewaajiri makundi ya wahalifu wa Mexico (Mexican cartels) ili kuniua. Leo, nikiwa peke yangu nyumbani, Wamexico wawili walifika kwenye mlango wa nyumba yangu.
Taarifa zote zinawasilishwa kwa FBI.
Ikiwa chochote kitanitokea, uchunguzi unapaswa kuanzia hapa.
Nadhani muda umefika wa mimi kuacha kuogopa silaha na sina budi kununua silaha wiki hii ili mtu akigonga tena mlangoni naenda mlangoni na bunduki.
Anyone can tell a formulate thisAbout 10 minutes ago, two people, a man and a woman, showed up at my house. They knocked for several minutes. At first, I didn’t answer, hoping they would eventually leave. Instead, they kept knocking louder and louder.

Alichocomment ni sahihi.Pamoja na "kukosa" cctv kipi kibaya alichokifanya hadi uanze kusimulia upya kama fundi milango?Au unataka uombe ulinzi wa nyumba?
Arudi tu Tanzania.Wakikamatwa itakua vema sana ili aliyewatuma ajulikane kwa usahihi.
Serikali huwa zinamalizana kiserikali,vyombo Kwa vyombo wanaweza hata kukupiga bei.Wakikamatwa itakua vema sana ili aliyewatuma ajulikane kwa usahihi.
What if hao hao FBI wakatumika kummaliza?Mange naye aache uzembe, kwa situation ilivyo CCTV inabidi azijaze kuanzia ndani kwake, magari yote na kila anapotembea 24/7, Samuya na wahuni wenzake wana unlimited budget wanazowaibia walipa kodi maskini wa Tanzania, Ila FBI wakipata ushahidi wanahusika itakuwa kiama chao
US ni hatari kwa usalama wa maisha ya mwanadamu.US sio bongo...
FBI wa deal na hao washenzi..
Si hata hao wazungu mnaowasujudu hufanya hivyo kwenye mataifa mengine.Wanataka kufanya michezo ya kitoto wanayoifanya Tanzania, watumie cartel kumuua halafu ionekane serikali haihusiki.
Sijui nani anawashauri.
Usikariri mambo hata ya zama za giza.Kuna wengine walinyakuliwa kwa kuendekeza upuuziupuuzi.Serikali huwa zinamalizana kiserikali,vyombo Kwa vyombo wanaweza hata kukupiga bei.
Uliza Yale ya mwandishi wa Saudia kule Ankara ilikoishia bwana Kashogi.
Wakina nani hao wanatuma wengine?Mnatuma watoto wa watu wafe ila nyie mnaogopa KIFO?
Ndiyo uanze kusimulia namna ya kuvaa suruali kama mvaaji hajui halafu mwisho umwambie angeweks wallet mfukoni.What a nuisance!Alichocomment ni sahihi.
Hata bongo, nyakati hizi CCTV ni muhimu mno, japo wachunguzi wasizitumie kwa sababu za kisiasa.