Matawi ya juu
JF-Expert Member
- Mar 5, 2019
- 8,048
- 15,651
Acha ujinga, FBI sio CCM, wanajielewaWhat if hao hao FBI wakatumika kummaliza?
Au mnafikiri FBI ni kikundi fulani cha malaika.
Acha ujinga, FBI sio CCM, wanajielewaWhat if hao hao FBI wakatumika kummaliza?
Au mnafikiri FBI ni kikundi fulani cha malaika.
PROPAGATED NEWS FOR ALL FOOL AND STUPID MEN,SO THEY MAY GO ON TREND FOR,"ILLUSIONMange should know how to move.
No ring doorbell camera? And she’s not packing heat, yet?
Waache kumwonea mtu mwenye kilo 40.
Waje pande hizi watujaribu baadhi yetu.
Georgia and guns are like the sun and the summer time…….if you know, you know 😉.
I hope walau anabeba bear pepper spray na panic button.
Uelewa mfinyu sana.🤔Mambo ya Marekani sisi yanatuhusu nini? Si yupo nchi yenye demokrasia na wanajali raia wake? anahofu ya nini?
Kuna haja gani sasa ya kuishi Marekani kama unaweza kuuliwa kirahisi hivyo kama mtu anaeishi Mbagala?
Hakuna mtu atapoteza hela yake kununua risasi ya kumuua MangeKimambi. Kwa jinsi saratani inavyomtafuna amebakia vimifupa tu vinatembea, anatafuta sympathy tuAbout 10 minutes ago, two people, a man and a woman, showed up at my house. They knocked for several minutes. At first, I didn’t answer, hoping they would eventually leave. Instead, they kept knocking louder and louder.
Because I know my life is in danger and I’m home alone right now, I decided not to even go near the door or look through the peephole. My husband has always told me not to do that. He said if someone came to kill me, they could shoot me through the door if they knew I was standing there.
So I stayed well away from the door and asked what they wanted. They said they were looking for someone named Louis. I told them no one by that name lives here. They then asked me to open the door because they couldn’t hear me properly. I refused and told them they could speak from where they were.
The moment I said that, they started walking away. I immediately ran upstairs and recorded them from my balcony.
The woman did all the talking. The man didn’t say a word.
As I have informed you all before, the Tanzanian government has commissioned Mexican cartels to kill me. Today, while I was home alone, two Mexicans showed up at my front door.
Everything is being forwarded to the FBI.
If anything happens to me, this is where the investigation should begin.
I think the time has come for me to put away my fear of guns and buy one. Hopefully this week I find the courage to own one.
KISWAHILI
Takribani dakika 10 zilizopita, watu wawili, mwanamume na mwanamke, walifika nyumbani kwangu. Waligonga mlango kwa dakika kadhaa. Mwanzoni sikuitika, nikitumaini kwamba wangeondoka. Badala yake, waliendelea kugonga kwa nguvu zaidi na zaidi.
Kwa sababu ninajua maisha yangu yako hatarini na kwa sasa niko peke yangu nyumbani, niliamua kutosogea hata karibu na mlango wala kutazama kupitia tundu la mlango. Mume wangu amekuwa akiniambia kila mara nisifanye hivyo. Aliniambia kwamba kama kuna mtu amekuja kuniua, anaweza kunipiga risasi kupitia mlangoni akijua nimesimama nyuma ya mlango.
Kwa hiyo nilibaki mbali na mlango na kuwauliza wanataka nini. Walisema wanamtafuta mtu anayeitwa Louis. Nikawaambia hakuna mtu wa jina hilo anayeishi hapa. Kisha wakaniomba nifungue mlango wakidai hawawezi kunisikia vizuri. Nilikataa na nikawaambia wazungumze wakiwa waliposimama.
Mara tu niliposema hivyo, walianza kuondoka. Nilikimbia haraka ghorofani na kuwarekodi kutoka kwenye roshani yangu.
Mwanamke ndiye aliyekuwa akizungumza muda wote. Mwanamume hakusema hata neno moja.
Kama nilivyowaeleza hapo awali, serikali ya Tanzania imewaajiri makundi ya wahalifu wa Mexico (Mexican cartels) ili kuniua. Leo, nikiwa peke yangu nyumbani, Wamexico wawili walifika kwenye mlango wa nyumba yangu.
Taarifa zote zinawasilishwa kwa FBI.
Ikiwa chochote kitanitokea, uchunguzi unapaswa kuanzia hapa.
Nadhani muda umefika wa mimi kuacha kuogopa silaha na sina budi kununua silaha wiki hii ili mtu akigonga tena mlangoni naenda mlangoni na bunduki.
Acha mawazo ya kipumbavuAcha ujinga, FBI sio CCM, wanajielewa
Wewe naye ni mpumbavuHakuna mtu atapoteza hela yake kununua risasi ya kumuua MangeKimambi. Kwa jinsi saratani inavyomtafuna amebakia vimifupa tu vinatembea, anatafuta sympathy tu
Paranoia induction - wanajua Fbi wako involved hawawezi kumdhuru, inawezekana wameamua kumfanyia psychological attacks ili awe constantly anxious and fearful.About 10 minutes ago, two people, a man and a woman, showed up at my house. They knocked for several minutes. At first, I didn’t answer, hoping they would eventually leave. Instead, they kept knocking louder and louder.
Because I know my life is in danger and I’m home alone right now, I decided not to even go near the door or look through the peephole. My husband has always told me not to do that. He said if someone came to kill me, they could shoot me through the door if they knew I was standing there.
So I stayed well away from the door and asked what they wanted. They said they were looking for someone named Louis. I told them no one by that name lives here. They then asked me to open the door because they couldn’t hear me properly. I refused and told them they could speak from where they were.
The moment I said that, they started walking away. I immediately ran upstairs and recorded them from my balcony.
The woman did all the talking. The man didn’t say a word.
As I have informed you all before, the Tanzanian government has commissioned Mexican cartels to kill me. Today, while I was home alone, two Mexicans showed up at my front door.
Everything is being forwarded to the FBI.
If anything happens to me, this is where the investigation should begin.
I think the time has come for me to put away my fear of guns and buy one. Hopefully this week I find the courage to own one.
KISWAHILI
Takribani dakika 10 zilizopita, watu wawili, mwanamume na mwanamke, walifika nyumbani kwangu. Waligonga mlango kwa dakika kadhaa. Mwanzoni sikuitika, nikitumaini kwamba wangeondoka. Badala yake, waliendelea kugonga kwa nguvu zaidi na zaidi.
Kwa sababu ninajua maisha yangu yako hatarini na kwa sasa niko peke yangu nyumbani, niliamua kutosogea hata karibu na mlango wala kutazama kupitia tundu la mlango. Mume wangu amekuwa akiniambia kila mara nisifanye hivyo. Aliniambia kwamba kama kuna mtu amekuja kuniua, anaweza kunipiga risasi kupitia mlangoni akijua nimesimama nyuma ya mlango.
Kwa hiyo nilibaki mbali na mlango na kuwauliza wanataka nini. Walisema wanamtafuta mtu anayeitwa Louis. Nikawaambia hakuna mtu wa jina hilo anayeishi hapa. Kisha wakaniomba nifungue mlango wakidai hawawezi kunisikia vizuri. Nilikataa na nikawaambia wazungumze wakiwa waliposimama.
Mara tu niliposema hivyo, walianza kuondoka. Nilikimbia haraka ghorofani na kuwarekodi kutoka kwenye roshani yangu.
Mwanamke ndiye aliyekuwa akizungumza muda wote. Mwanamume hakusema hata neno moja.
Kama nilivyowaeleza hapo awali, serikali ya Tanzania imewaajiri makundi ya wahalifu wa Mexico (Mexican cartels) ili kuniua. Leo, nikiwa peke yangu nyumbani, Wamexico wawili walifika kwenye mlango wa nyumba yangu.
Taarifa zote zinawasilishwa kwa FBI.
Ikiwa chochote kitanitokea, uchunguzi unapaswa kuanzia hapa.
Nadhani muda umefika wa mimi kuacha kuogopa silaha na sina budi kununua silaha wiki hii ili mtu akigonga tena mlangoni naenda mlangoni na bunduki.
Damu damu!! Mtaua wangapi?Wamuue tu kwa kweli kavivu ka kufanya biashara kanataka watu wauwane kalipwe hela ajue serikali yoyote Duniani haichezewj
Sidhani.Kwa watu kama USA,afisa/mtumishi wa umma anajua anaweza kupata matokeo gani iwapo atajulikana ameingilia uhuru wa mtu,kumbughudhi,kuingia eneo lake bila sababu ya msingi,kumtisha,kumpotezea muda au kutumia nafasi yake kimamlaka vibaya!USA si nchi ya "manyani" kwa kiasi hicho.Mtu/watu wa aina hiyo hupewa stahiki yao kwa vifungo "vizuri",kufukuzwa kazi na/au hata kulipa fidia kubwa.Labda hao watu wawe ni mahuni tu yaliyotumwa na mabwana zao uchwara.Paranoia induction - wanajua Fbi wako involved so wanamfanyia psychological attacks ili awe constantly anxious and fearful. Atasumbuka sana kwa sababu wameshajua udhaifu wake.
Kati ya ma-africa mapumbavu yanayostahili kufa haraka sana ni weweAache ufala, hao ni wacheza porn wenzake walikuja kumtembelea na kujadili scenes zao mpya. Nani ahangaike na hako kakigagula kalichoshindwa?!!! Ni machadema peke yake ndo yanaweza kuamini huo ujinga uliopikwa kishamba.
Kwa ufala huu, Raisi Samia ataendelea kudunda sana tu.
Jamal Kashogi unaweza sema kafa kwa uzembe wake mwenyewe.Serikali huwa zinamalizana kiserikali,vyombo Kwa vyombo wanaweza hata kukupiga bei.
Uliza Yale ya mwandishi wa Saudia kule Ankara ilikoishia bwana Kashogi.
Hizi ndio akili za UVCCM sasa ambao wanaonekana ni thinktanks wa chama chakavu.Wamuue tu kwa kweli kavivu ka kufanya biashara kanataka watu wauwane kalipwe hela ajue serikali yoyote Duniani haichezewj
Kama tulikuwa tunazimiwa internet kwasababu tu mhe Humphrey Polepole anaenda kufanya press kile tena alishaacha kazi serikali wewe unashangaa vipi kwa Mange kimambiAache ufala, hao ni wacheza porn wenzake walikuja kumtembelea na kujadili scenes zao mpya. Nani ahangaike na hako kakigagula kalichoshindwa?!!! Ni machadema peke yake ndo yanaweza kuamini huo ujinga uliopikwa kishamba.
Kwa ufala huu, Raisi Samia ataendelea kudunda sana tu.
Sijakuelewa, unamaanisha hao watu wanaotumika kumuogopesha ni maafisa wa umma?Sidhani.Kwa watu kama USA,afisa/mtumishi wa umma anajua anaweza kupata matokeo gani iwapo atajulikana ameingilia uhuru wa mtu,kumbughudhi,kuingia eneo lake bila sababu ya msingi,kumtisha,kumpotezea muda au kutumia nafasi yake kimamlaka vibaya!USA si nchi ya "manyani" kwa kiasi hicho.Mtu/watu wa aina hiyo hupewa stahiki yao kwa vifungo "vizuri",kufukuzwa kazi na/au hata kulipa fidia kubwa.Labda hao watu wawe ni mahuni tu yaliyotumwa na mabwana zao uchwara.
Video yake ipo nimeona kwa Maria sarungiPole kwa maswahibu.
Hivi, Rekodi za picha na video zilizopatikana ni kwa ajili ya FBI tu JF haturuhusiwi kuziona na sisi tufanye uchunguzi Binafsi kuwatambua wahalifu?
Hapana.Watakuwa wahuni tu na magenge yao.Serikali ya USA itume watu wamtishe raia kwa maslahi gani ya nchi yao!?Sijakuelewa, unamaanisha hao watu wanaotumika kumuogopesha ni maafisa wa umma?
Kama tulikuwa tunazimiwa internet kwasababu ya Polepole kila akifanya press yake unashangaa vipi kwenye hili?Hakuna mtu atapoteza hela yake kununua risasi ya kumuua MangeKimambi. Kwa jinsi saratani inavyomtafuna amebakia vimifupa tu vinatembea, anatafuta sympathy tu